ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
kwa upande wangu simpendi mwanamme mkorofi na muongeaji utafikiri amewekea morta mdomoni
aongee, akuchambe na akuseme masaa 24 huyo si mume bali kalaa tupu kwako
mume mwema ni yule mcha Mungu, mpole na mwenye kujali familia yake alieye na upendo pia

cjui kama kuna mwanamke anapenda mwanaume mkorofi maybe,