Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wa kikurya

Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wa kikurya

Huna lolote baada ya kuona mnakimbiwa na kukataliwa na wanawake mmeanza kujipigia debe hadanganywi mtu hapo nani anataka akakatwe masikio
 
Cc.. Excel..........

Ila mimi wanaume wa kisandawe jamani.........wanakimbiza moyo wangu sijui kwa nini........
 
Last edited by a moderator:
umesikia kwenye kijiwe fulan kumbe....... labda
 
Hii nimeisikia
kwenye kijiwe fulani, jamaa walikuwa wanabishana kuhusu kabila lenye
wanaume wanaokubalika kirahisi na wanawake.
Jamaa walikiri kuwa wanaume wa kikurya wana mvuto sana, wapore pia
wanajali sana wake zao. Kuna waliosema kuwa wakurya ni wakali lakini
hoja yake haikuwa haina nguvu, hii si mara ya kwanza kusikia kuwa
wanaume wa kikurya wanapendwa sana na wanawake. Naomba
wahusika(wadada/wanawake) waje wathibitishe kama ni kweli au la!

wabahiliiiiiiiiiii and hawajui kubembekeza they are too boss wanacomand
 
baadhi ya wasukuma ni matapeli wa kutupa wanapenda ngono na mara nyingi huwa na mke zaid ya mmoja

Halafu washamba sana na wanapenda misifa! unakuta ananunua laptop tatu na zote anatembea nazo! hahaha kuna mdau aliwahi kusema hivyo.
 
mimi binafsi nampenda mwanaume MBABE sipendi legelege
mada yako ina ukweli

Hebu weka like! na mimi napenda mwanamke anaependa mwanaume mbabe, hii inaweza kuwa ni bahati kati ya mimi na wewe. Hahaha!! au unasemaje masai dada?
 
Last edited by a moderator:
Te te te...umeongelea hilo umenifanya nikumbuke kuwa Bongo washamba ni wengi...mtu unakuta anatembea na simu tatu te te te..na anazitandaza mezani akiwa Bar...
Zamani ungesema anataka ku save gharama ya kupiga...kwa sasa sijuhi ni nini kama si ulimbukeni...

Halafu washamba sana na wanapenda misifa! unakuta ananunua laptop tatu na zote anatembea nazo! hahaha kuna mdau aliwahi kusema hivyo.
 
Te te te...umeongelea hilo umenifanya nikumbuke kuwa Bongo washamba ni wengi...mtu unakuta anatembea na simu tatu te te te..na anazitandaza mezani akiwa Bar...
Zamani ungesema anataka ku save gharama ya kupiga...kwa sasa sijuhi ni nini kama si ulimbukeni...

Sasa hao ndugu zetu ni shiiida!
 
Hebu weka like! na mimi napenda mwanamke anaependa mwanaume mbabe, hii inaweza kuwa ni bahati kati ya mimi na wewe. Hahaha!! au unasemaje masai dada?

hahahhahah mkuu huko kuna ngombe huo ndo uchawi wetu huku wewe tuloge nao tu....kama 15 hivi kwisha habari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom