Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

Kasema ana kiu na safar kubwa ya moto mkuu sasa dompo si makosa hayo
Nawajuwa vizuri hawa viumbe mkuu, akikwambia sitaki ndio anataka, akikwambia wewe nenda tu maana yake usiondoke, hujui ulichocomment, Mimi ni legendary mkuu, najuwa nilichoandika.
 
Wanawake wengi Wanaolewa ni wale wasiokuwa na matumizi mabaya ya fedha na ukipata mwanamke muwazi hasa kwenye matumizi itakuwa vizuri zaidi mwanamke kama huyu ata ukimpa pesa nyingi hutojutia sababu ni muwazi na ata mkifanikiwa hawezi kuonesha tamaa na yeye kumiliki mali wala kukuzunguka kufanya mambo mengine kwa siri
Kweli mkuu!
 
fact
Napingana na wewe sio wanawake wote hakupi namba eti kwasababu hujamvutia vipi wale ambao wamepewa namba na wametolewa nje?kitu ambacho ukijui Wanawake wote wanapenda kutoa namba kwa watu wanaowafahamu wale ambao hawafahamu hata uwe kakuelewa ni ngumu kukupa wanawake wanaweza kutokukupa namba kwasababu zifuatazo

✓hakujui
✓kaolewa
✓Ana mchumba
✓kuogopa kuonekana ni cheap
✓Ajavutiwa na approach yako ya maneno
✓Umemkuta kwenye hali gani either akili yake haijakaa sawa
✓Hauna mvuto
✓kwa kutathimini kutoka kichwani kwa jinsi ulivyo either muhuni, unajikweza,unatabia mbaya, huna
 
Afya ya akili.......WANAWAKE wengi Wana hili tatizo......kujiona bonge la queen kumbe garasa la sinza........kujishaua oohh Mimi simtaki MTU ambaye Hana gari wakati mama yake alibebwa Kwa msele WA baskeli ya kukodi.....kujifanya nataka kwenda shopping town wakati kwao magenge yako nyuma Yao....kujikwatu kwatu oooh sijazoea uswahilini nipangie mikocheni wakati alizaliwa buguruni kwenye Banda la uhani ..
hahah wambie mkuu!
 
ni kabisa mkuu kuna vitu wanatakiwa wabadilike.
Hiyo ya kuomba namba ya simu naungana na wewe Sana inakera Sana hawa wadada wapo kama watoto inabidi uwende nao kwa akili lakini mkuu uzi wako ni mzuri sana kuna mambo nafikiri wanapaswa hawa dada setup wajifunze
 
Unatushauri tugawe namba kama peremendeee

Wewe mwanamke wako unamruhusu kugawagawa namba yake kwa wanaume??

Binafsi sikubaliani na kugawagawa namba japo mimi siwezi kumnyima mtu namba yangu ila sasa kwenye kunipata ndo changamoto
hahah sawa mamamzungu!
 
Shida yako ni utamu tu...ke anatongozwa na me woote! Wazee tena wenye hela.vijana na watoto..Kuanzia asubuhi mpaka jioni ni kutongozwa tyuuuu.....weye unakuja jioni fresh ukiwa hujachoka...yeye ke amesha choka kujibu maswali ya watongozaji wenye ofa lukuki...na wewe una kikwapa pekee...ndo maana unaona mikato mikato. Hawa wadada sometimes mnawaonea tu muwaachee...jitu linakuja na domo lenyewe linachotaka likubaliwe tyuuuu halijui kukataliwa!! Dem akikutusi sema asante then rudi siku nyingine tena akiwa fresh watongizaji profesheno hatuchokagi usituungsnishe na weye.lazima hawa watupe majibu ya mkato.ndo chachandu yetu kutoka kwao... ikibidi watupige makofi ...tunachangamka kwanza raha kupigwa makofi na ke....lkn hatutakoma....kifupi huna akili ya kutongoza km uko hivo.......ke za watu pia ivoivo.wanatongozwa sana...sasa km una kifafa eti yeye akukubalie tu. Mwee!...usiwaoneee tena usije humu tena...unatuharibia bana....wasije wakagoma kutupa yao km una kimavi cha mihasira kaa mbali....ke ndo walivyo sisi tunapenda kuzungushwa......unashindwa akili na kuku jogoo...huyu mtetea akikimbia....jogoo hakati tamaa .na yeye humkimbiza kwa sana tu. Sasa kuku anakushina akili......
 
Nawashauri ke woote warembo wa Jf siwataji ni siri yangu . mkazeni buti msiwe cheap..tena sasa mzidishe ili wachache wenye uvumilivu tufaidi.....
 
Back
Top Bottom