Wanawake wengi wa siku hizi hawajui kupika

Tofauti na miaka ya zamani wakati tunakua,wazazi wetu walikuwa wakipika chakula watoto mnafurahia chakula kutokana na mapishi mazuri.

Kwa mfano, wa mama na wa dada wa zamani(waliozaliwa miaka ya 60 kurudi nyuma) wengi wao walikuwa wapishi wazuri kwenye familia zao kiasi kwamba wakipika chakula mfano pilau, wali, samaki,chapati,maandazi,n.k, wanafamilia chakula mnakifurahia tofauti na siku hizi.

Hivi sasa unaweza kuta mwanamke mrembo ila akipika chakula,unaweza kula tu kwa kumuonea aibu na hali hii ni hata kwa ma-house girl wa siku hizi ambae ukimleta kwako inabidi umpe darasa la kupika chakula chenye ladha.

Kwenye migahawa na wa mama ntilie na kwenye nako hali ni hio hio.Mtu unaagiza chakula kula unashindwa na bado ukibadili mgahawa hakuna guarantee kwamba unakohamia kuna unafuu (afadhali).

Inawezeka mfumo wa maisha ya kisasa ndio unachangia hali hii kwa kiasi kikubwa na hasa kwa waloizaliwa kuanzia ya miaka ya 80 mwishoni na kuendelea.
Hawataki kupika, kufua (hata kama kuna washing machine), kupiga pasi, kulipia kodi, bili za ndani, kutoa mechi za kutosha wao wanataka ndoa na kugeuza waume zao kuwa wazazi wao.
 
Uvivu jamani ukiwa mvivu utakuwa mchafu, ukiwa mchafu hata vyakula vyako vitakuwa vya ovyo havina ladha uvivu, halafu ndo hao hao utawasikia oo mimi situmii facebook wakati kule kuna magroup mazuri sana yanafundisha mapishi, kila kitu ni kujifunza na kujaribu hakuna aliyezaliwa anajua..
Ngoja nikuitie wapishi wenza nguli wa humu snowhite farkhina Miss Natafuta Mzigua90 Madame B.
Hivi farkhina kajificha wapi?
 
Sometimes mnasaidia sio kulalamika tu
Ahsante hubby alinifundisha kupika chapati nzuri hadi Leo nisipopika mie hali, alinifundisha na kupika ugali mzuri usio na mabonge ya unga unga hadi sasa sijamuangusha
Kwa kweli hata mimi ugal alinifundisha hubby
Na huwa anatoa suggestions kipikwe nini na vipi.
 
Fundisheni wake zenu kupika,kwa wadada wanaopenda kushinda mtandaoni wanunulieni bando za kutosha wajifunze mapishi boarding schools zisiwe kisingizio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvivu jamani ukiwa mvivu utakuwa mchafu, ukiwa mchafu hata vyakula vyako vitakuwa vya ovyo havina ladha uvivu, halafu ndo hao hao utawasikia oo mimi situmii facebook wakati kule kuna magroup mazuri sana yanafundisha mapishi, kila kitu ni kujifunza na kujaribu hakuna aliyezaliwa anajua..
Ngoja nikuitie wapishi wenza nguli wa humu snowhite farkhina Miss Natafuta Mzigua90 Madame B.
TULIANZISHEEEEE
 
Kwa kweli hata mimi ugal alinifundisha hubby
Na huwa anatoa suggestions kipikwe nini na vipi.
Hadi raha kushirikiana hivo sio kimtu tu kikae miguu juu kama mishikio ya ndoo kazi kulalamika, mara moja moja vaa apron shiriki kwenye maakuli simaanishi akakate vitunguu, maisha mengine ugumu tunautaka wenyewe
 
Yeah nlikua najua kupika chai tu hayo siku nyingine inakua haijaiva siku nyingine inakua imeungua, tabu tupu
Kama uliolewa hujui kupika chochote.. kaa ukijua hata ufundishwe hautajua mpaka unakufa...mmeo anakuvumilia tu hataki kukudiskareji...

Kupika ni utundu na ubunifu siyo kufundishwa tu.

More worse wewe siyo mtundu unless ungejua kupika toka utotoni.

Mimi sijawahi kufundishwa kupika but najua sana kwa level yangu kama mwanaume.
 
Karibu kwangu unywe maji ya kunywa, hayo najua kuyachemsha nayavalia hadi apron
 
Wifi ako wa zaman nilimleteaga nyama ya kitimoto Mbichi aipikee.

Dah, nilikuta limchuzi kajaza mafutaa mpk nikasema hapa nakufa.

Ilibidi nisingizie tumbo linanisumbua nisile tu.

Mbaya zaidi ukitaka umfundishe kupika hataki, anaona unamdharau sijui.

Nikapiga chini
Ahahaaa nimecheka sana *****.mchuzi wa mdudu tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes mnasaidia sio kulalamika tu
Ahsante hubby alinifundisha kupika chapati nzuri hadi Leo nisipopika mie hali, alinifundisha na kupika ugali mzuri usio na mabonge ya unga unga hadi sasa sijamuangusha
na kukata mauno alikufundisha?
 
Tofauti na miaka ya zamani wakati tunakua,wazazi wetu walikuwa wakipika chakula watoto mnafurahia chakula kutokana na mapishi mazuri.

Kwa mfano, wa mama na wa dada wa zamani(waliozaliwa miaka ya 60 kurudi nyuma) wengi wao walikuwa wapishi wazuri kwenye familia zao kiasi kwamba wakipika chakula mfano pilau, wali, samaki,chapati,maandazi,n.k, wanafamilia chakula mnakifurahia tofauti na siku hizi.

Hivi sasa unaweza kuta mwanamke mrembo ila akipika chakula,unaweza kula tu kwa kumuonea aibu na hali hii ni hata kwa ma-house girl wa siku hizi ambae ukimleta kwako inabidi umpe darasa la kupika chakula chenye ladha.

Kwenye migahawa na wa mama ntilie na kwenye nako hali ni hio hio.Mtu unaagiza chakula kula unashindwa na bado ukibadili mgahawa hakuna guarantee kwamba unakohamia kuna unafuu (afadhali).

Inawezeka mfumo wa maisha ya kisasa ndio unachangia hali hii kwa kiasi kikubwa na hasa kwa waloizaliwa kuanzia ya miaka ya 80 mwishoni na kuendelea.
Wewe endelea na habari zako za siasa, chadema, lissu, ccm, huku siyo kwako.
 
Back
Top Bottom