Wanawake wengi wa siku hizi hawajui kupika

Wanawake wengi wa siku hizi hawajui kupika

Tofauti na miaka ya zamani wakati tunakua,wazazi wetu walikuwa wakipika chakula watoto mnafurahia chakula kutokana na mapishi mazuri.

Kwa mfano, wa mama na wa dada wa zamani(waliozaliwa miaka ya 60 kurudi nyuma) wengi wao walikuwa wapishi wazuri kwenye familia zao kiasi kwamba wakipika chakula mfano pilau, wali, samaki,chapati,maandazi,n.k, wanafamilia chakula mnakifurahia tofauti na siku hizi.

Hivi sasa unaweza kuta mwanamke mrembo ila akipika chakula,unaweza kula tu kwa kumuonea aibu na hali hii ni hata kwa ma-house girl wa siku hizi ambae ukimleta kwako inabidi umpe darasa la kupika chakula chenye ladha.

Kwenye migahawa na wa mama ntilie na kwenye nako hali ni hio hio.Mtu unaagiza chakula kula unashindwa na bado ukibadili mgahawa hakuna guarantee kwamba unakohamia kuna unafuu (afadhali).

Inawezeka mfumo wa maisha ya kisasa ndio unachangia hali hii kwa kiasi kikubwa na hasa kwa waloizaliwa kuanzia ya miaka ya 80 mwishoni na kuendelea.
Kabisa!
Pia sijajua kuna tatizo gani siku hizi, mara ya mwisho nimekula pilau yenyewe yaani inatesti kama pilau kwa viungo ni kitambo sana. Siku hizi kila nikila pilau mahali inaonekana rangi ya pilau ila ladha ya wali.
 
Mwanamke asiyejua kupika ni mvivu, uvivu umemuelemea hata anashindwa kujifunza kupika vizuri.. Akifikiria kuingia jikoni tu kichwa kinamgonga, huyu hata mambo yake mengine yatakuwa ya kivivu kivivu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
General Mangi huyo ana kiburi mimi nlikuwa sijui kupika ugali mgumu wa kisukuma, nlishazoea mlaini wa Dar, nlipikishwa mara 3 na shemeji yako hata sikukasirika, mama mkwe alirudi alinfundisha mpaka leo nashukuru.Huyo wako ni kimeo ujuaji na kiburi alishindwa hata kujiongeza kitimoto na chuzi wapi na wapi?
Angegugo bana.
Sikatai kuna aina ya vyakula kutokana na mazingira, malezi na imani huwezi kujua ila kujifunza kupo.
 
nobodylikedme sikuhizi tunajifunza mtandaoni, kwenye tv, mimi pia nimesoma boarding miaka yote ila kwa kuwa naelewa umuhimu wa chakula cha nyumbani ninajitahidi kwa kweli nijue, ni aibu kwa mdada au mmama kupika ovyo ovyo kwa kusingizia ulikuwa boarding.
Huwa naona furaha kweli kweli familia yangu kufurahia chakula nlichopika kwa mikono yangu.
Hongera kwa kuwa mkweli,.

Mwanaume siwezi kufikia hatua ya kumfundisha mwanamke kupika ni aibu na fedheha...

Itatokeaje mimi nijue kupika yeye ashindwe?
 
Kabisa!
Pia sijajua kuna tatizo gani siku hizi, mara ya mwisho nimekula pilau yenyewe yaani inatesti kama pilau kwa viungo ni kitambo sana. Siku hizi kila nikila pilau mahali inaonekana rangi ya pilau ila ladha ya wali.
Mkuu, kwenye pilau ndio tatizo kubwa kabisa.Wengi wanaipika hovyo hovyo tu hata ladha inakosa.

Binafsi huwa namkumbuka sana mama yangu katika mapishi ya vyakula mbalimbali na hasa ninpokula vyakuka kama pilau za siku hizi ambazo ni pilau jina tu.
 
Mwanamke asiyejua kupika maana yake hajui chakula kitamu na siyo mroho, ukiwa mroho kama mie lazima ujue kupika, kuna kipindi nlikuwa nipo mikoani naagizisha viungo vya vya nyama, kuku, samaki, mchuzi wa aina zote, supu, biriani, ndizi mpaka cowboy chapati dar, mchele wa basmati n.k.
NB:ukitaka kujua asiyejua ingia jikoni kwake au fungua friji lake ukikuta maji na savanna tu toka baru.
hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila KWELI ASEEH!
unaenda kwa mtu unakaribishwa wali maharage,a veeeeeery simple meal!!
LAKINI, UUUUUUUUWIH!!
wali didaaaaaaa,hauna ladha(japo mchele nao siku hizi vimeo mwingi)
Maharage dah!!
Sasa atumie Nazi , toooooober!!
Nazi watu hawajui kukuna,
Hawajui kuchuja, mtu tui la kwanza kajaza mimaji kibaaaaa(Mamangu angekupasua uso na mwiko!)
Pilau bayaaaaa
Juice toka wajue passion na parachichi mpk glass zinakariri njano
NA ratiba zao za vyakula zimebandikwa jikoni( NO CREATIVITY AT ALL)

Jumapili asubuhi na mapajama yao wanawasha magari kufata chapati.
No wonder wababa wanajazana bar kufata supu za mikia bar!

huwa SIELEWI NIKISIKIA MWANAMKE ANASEMA "SIPENDI KUPIKA"
hakiiii
 
nobodylikedme sikuhizi tunajifunza mtandaoni, kwenye tv, mimi pia nimesoma boarding miaka yote ila kwa kuwa naelewa umuhimu wa chakula cha nyumbani ninajitahidi kwa kweli nijue, ni aibu kwa mdada au mmama kupika ovyo ovyo kwa kusingizia ulikuwa boarding.
Huwa naona furaha kweli kweli familia yangu kufurahia chakula nlichopika kwa mikono yangu.
Hongera kwa hilo, lakini ni wangapi wanaofanya hivyo baada ya kugundua kuwa hawajui kupika? ni madada wangapi wanaoitumia internet kwa ajili ya self-enlightenment ya kitu chochote sio tu kupika pekee? ......wengi wenu ni walevi wa Instagram tena page zenyewe mnazotembelea ni za akina Mabetto,Zari,Hemedy phd,Mboni show na hii kwa wale ambao sio wasomi. Kwa walio wasomi wao wanajifanya wako advanced kidogo page wanazotembelea sana ni za akina Kim kardashian,Realhousewives of Atalanta,Rihana,Amberrose etc.

Adimu sana kumkuta mdada anatumia internet kama sehemu ya kijunza tena mapishi!!!? sio rahisi hata kidogo, na siku hzi ata mkioolewa kazi zote za jikoni anakabidhiwa housemaid, mume akisema anataka chakula kilichopikwa na wewe bila aibu unamjibu "kwani shida yako ni njaa au kupikiwa na mimi"?.
 
Ila ni uzembe TU.
sa hiz mkiiiiiila kitu KIPO MITANDAONI!!
@
 
Umeongea ukweli mkuu,,siku hizi vyakula wanavyopika wanawake wengi ni vya hovyo kabisa ladha hamna kabisa,,sio nyumbani sio migahawani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jiongeze kidogo kijana mdogo!
2018 duh walahi!
 
Back
Top Bottom