Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,072
- 1,376
Nilishakutana nao wasiyoipenda condom zaidi ya wa5, ila ukiniuliza kama nilivaa au sikuvaa jibu silikumbuki.Mmoja aliwahi kuniambia nivue kabisa! Dushe likanywea fasta!
Nilishakutana nao wasiyoipenda condom zaidi ya wa5, ila ukiniuliza kama nilivaa au sikuvaa jibu silikumbuki.Mmoja aliwahi kuniambia nivue kabisa! Dushe likanywea fasta!
Nilishakutana nao wasiyoipenda condom zaidi ya wa5, ila ukiniuliza kama nilivaa au sikuvaa jibu silikumbuki.
Kondomu zenyewe mia tatu ya nini kumuambukiza binti wa watu fangasi?
Fanya hivyo mkuuEnzi sijatulia kitabia nilikutana na mwamke wa ajabu Sana, ile tunaingia Gest ghafla alifungua mkoba wake na kutoa vipimo vya UKIMWI kilichoendelea hapo subiri nitaleta uzi maalumu
Huko kwenye KY mambo ya ndogo, sa ndogo na London wapi na wapi?
Huko kwenye KY mambo ya ndogo, sa ndogo na London wapi na wapi?
H
Huko kwenye KY mambo ya ndogo, sa ndogo na London wapi na wapi?
Yaan baada ya maisha kuwa magumu .a.k.a vyuma kukaza wanawake wengi wanajtoa mhanga, wanajua wakisema ndom tutawakimbia😀😀😀😀 na hiyo pesa yako atakosa😛Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo.
Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.
Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga
Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
Inawezekana Net work not available!! Mnara usome eti hutaki? hata kama unanena kwa lugha, potelea mbaliSipendi uzinzi Basi tu