Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

[emoji1] [emoji1] comment yako INA mashiko wengi hawapendi kondomu wanaume ila wakija huku JF wanalaumu wanawake eti hawapendi, wakati kiukweli kondomu hutoa ladha yote ya tendon si kwa mwanamke au mwanaume
Hata wewe hupendi kutumia condom?
 
Wewe unaeuogopa why hauvai kinga hadi uambiwe?
 
Nilikua siwezi kutumia condom mpaka nilipopata girlfriend ambae hakukubale tufanye mapenzi bila kinga mpaka tupime.Kupima nilikua naogopa so kwa miaka miwili ulikua mwendo wa condom tu mpaka nilipokuja kupima. Wanawake wanao jielewa wapo
 
Nilikua siwezi kutumia condom mpaka nilipopata girlfriend ambae hakukubale tufanye mapenzi bila kinga mpaka tupime.Kupima nilikua naogopa so kwa miaka miwili ulikua mwendo wa condom tu mpaka nilipokuja kupima. Wanawake wanao jielewa wapo
Majibu yalikuwaje Mkuu?.
 
Wanawake wanahitaji kuongozwa kwenye kila sekta duniani"ndivyo walivyoumbwa.
 
Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo.

Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.

Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga

Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
Ni kweli kwa namna moja ama nyingine hali kama hiyo hutokea kwanza kutokana na kuwa mnapokuwa kwny tendo lenyewe


Msemaji wa mwisho ni mwanaume kutokana na kuwa yule mwanamke mpka amerithia umvue chupi means yupo tayari kwa lolote


Na ndo maana jibu linabaki sasa WEWE MWENYEWE TU coz anakosa kauli ya kukataa hata kumpa mimba yennyewe xo kwamba wanakataa nikuwa anakutahadharisha tu kuwa kuna kitu kama hicho


Sasa basi inakuwa ngumu kwa baadhi ya wanaume kuwaza condom kutokana kwanza utakuta anaona kukubaliwa ni kama zali hufanya mapema kuhofia yule binti anaweza kubadili mawazo na lengo lisifanikiwe yaaan OVER PRESSURE wengine ndo utakuta ndo wanaiba wake za watu kwa hiyo kuna mengi sana kuhusu suala zima

Ila pia kuna baadhi ya wanawake hawajielewi kabisa unaweza ukamshawishi mpime basi kama hataki kutumia kinga maana wengi hulalama kuwa zinawaletea fungus mara muwasho wengine hawapati ladha yaani pipi na ganda lake kwa hiyo


Ni muhimu sasa wewe kama mwanaume ujiweke desturi ya kuwa na wenzi wachache ama kuwa na ndoa yako tu ilikupunguza hatari ya kupata ukimwi pia
Kutumia condom endapo atakataa kupima HIv test

Pia kujikeep busy na majukumu yako coz maisha yenyewe yanabana sana kama ukitaka maendeleo hakuna muda wa hayo mambo labda kwa yule wako wa ndani tu

MAISHA YANAKABA UKIKABWA UNAKUWA SADAKA
 
Wanawake sio waoga kama wanaume mkuu.

Usiwaendekeza kabisa, wanawake mambo yao ni yakibabe na yanayonifanya niwe na tahadhari nao pindi ninapomingo nao.Si UKIMWI tu, wanawake hawaogopi mambo mengi na mazito ukilinganisha na sisi wanaume.

Hii ndio sababu wao hawapendi wanaume waoga
Mkuu uko vizuri yaani fact
 
Ndio maana wao ndio wengi wenye virusi kuliko wanaume
Hiyo sio kweli idadi ya wanawake kuwa na maambukizi kuwa kubwa kuliko wanaume n pamoja na mambo yafuatayo

Kwanza :biological and body mophology .hii mkuu namaanisha ivi mungu alivyomuumba mwanamke katika uke kunamazingira yanayofanya wale virus kuingia kwny mfumo wa damu kirahisi kutokana na
....unyenyevu usiokauka ndani ya uke

......kuta za uke laini sana kuchubuka kama mwanamke hajaandaliwa wakati wa sex

......kuwa na nyia mbili yaani ya kizazi na ya kukojolea nje na sisi wanaume tunanjia moja tu .
Hii humpa mwanamke risk ya kupata sexual diseases kwa urahisi ambapo na kupata maambukizi ya HIv ni rahisi kutokana na mazingira ya mule kuwa suppotive kwa infenctions


Sababu nyingine ya body mophology ni kuwa mwanaume aliyetahiriwa si vyepesi kupata maambukizi nje na yule ambaye hajaenda tohara


Pili....ECONOMIC MATTERS haya ni masuala ya uchumi hii inatuonesha wazi wanawake wako wengi kuliko wanaume na vyozo vyao vya uchumi ni mchache kama wanaume watajushughulisha na kazi ngumu mradi kupata chochote ila wao baadhi hujiuza mradi kupata mahitaji yao

Pia hapo hapo ikumbukwe wanawake wanamatumizi makubwa sna ya pesa kuliko mwanaume per months

Submitted
 
Mara nyingi mwanamke hufuata kile mwanaume atakachomwambia...

Wakulaumiwa ni sisi wanaume ambao mara nyingi tunalazimishaga mambo yawe vile tunavyotaka sisi yawe...

So nijukumu letu sisi wanaume kua mstari wa mbele kwenye usalama wa afya...


Cc: mahondaw
 
Tabu yote ya nn, cku izi KIPIMO katika baadhi ya pharmacy vnauzwa buku 5 tu,,unanunua viwili kabla ya chezo mnapima then mnaenjoy kwa Uhuru ukiwa unajua hali ya mwenzio...japo inataka ujasiri wajukuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom