Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,494
That's good, kucheka ni afya tosha.🤣🤣🤣Nimecheka balaa
That's good, kucheka ni afya tosha.🤣🤣🤣Nimecheka balaa
Kuna wale wanavaa high Heel huku wamebinua kwa nyuma. Sasa siku moja umkuta katupia Ndala anatoka chooni 🤣🤣🤣Kwema Wakuu!
Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii,
Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri.