Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Weka picha tujue mzuri yupoje
.
IMG_20190105_172532.jpeg
 
don't generalize mkuu hiyo ni tabia ya mtu m1 m1 nina mke mrembo sana na ni wife material ila pia nina mchepuko ambaye naye sio haba kwa sura ila sasa yeye ndio ana hizo sifa ulizozitaja kwenye uzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili limewahi kumtokea jamaa mmoja, alioa mwanamke mzuri sana.

Siku za mwanzo mambo yalikuwa safi baada ya kufunga ndoa, kadri muda ulivyozidi kwenda. Jamaa alikiona cha mkata kuni

Mwanamke alifikia hatua ya kumtuma dukani mume wake.

Haikupita muda mrefu ndoa ikavunjika.
 
0.03% ya wanawake warembo ndiyo wanaojielewa. %zilizobaki wengi wao akili za kufikiria hawana na kinacho waathiri ni kwamba wanaenda kisengere nyuma, yaani: Wanafikiri kwa kutumia uzuri badala ya kutumia akili.

Na ni mabomu mabomu kweli kichwani.
 
Back
Top Bottom