Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
Hapo sawa kabisa.Leo sikuachi ng'oohadi uniote usiku
Silali usiku nakuota tu, kila nikinywa maji nakuona kwenye glasi

Hapo sawa kabisa.Leo sikuachi ng'oohadi uniote usiku

Hapo sawa kabisa.
Silali usiku nakuota tu, kila nikinywa maji nakuona kwenye glasi![]()

Wanafaa kabisa kuoa, mambo mengine ni tabia ya mtu, kwamba atajiheshimu vipi akijua yeye ni mke wa mtu. Usumbufu unakuja pale mnapoongozana naye kwenda sehemu, macho ya wanaume wenye kumham, wengine watamminyia macho mbele yako!Wakuu habarini humu ndani..,
Mwenzenu nimegundua kitu kuhusu wanawake wazuri sana na warembo,,hawa watu hawafai kuoa,kwanza asilimia kubwa wanaroho mbaya hawawezi kuishi na ndugu,hawana akili ya maisha,ni Malaya,sio wavumilivu ndani ya ndoa,.wanakasoro nyingi mnoo.
Nilichogundua washkaji wengi wenye wake wazuri ndoa zao zina shida nyingi mnoo.
Ushauri wangu kwa vijana ambao hamjaoa tafadhari kueni makini namabinti hawa warembo ni matatizo makubwa sana ndani ya nyumba.
Hapo sasa mkuu
UNA UTANI NA WAZEE WA KUOA SHOW OFF BADALA YA KUOA WAKE WEMA?Wakuu habarini humu ndani..,
Mwenzenu nimegundua kitu kuhusu wanawake wazuri sana na warembo,,hawa watu hawafai kuoa,kwanza asilimia kubwa wanaroho mbaya hawawezi kuishi na ndugu,hawana akili ya maisha,ni Malaya,sio wavumilivu ndani ya ndoa,.wanakasoro nyingi mnoo.
Nilichogundua washkaji wengi wenye wake wazuri ndoa zao zina shida nyingi mnoo.
Ushauri wangu kwa vijana ambao hamjaoa tafadhari kueni makini namabinti hawa warembo ni matatizo makubwa sana ndani ya nyumba.

Hahaaaaa hapo pa vibuyu kibokoNaunga mkono hoja 100%, niongezee kidogo;
Wana kiburi,
Ni maslay queen wengine hata kupika hawajui,
Wana imani dhaifu na ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga,
Wanapenda wanaume waliofanikiwa hivo huishia kuwa vyombo vya migegedo,
Wengi wana vibuyu kichwani, na asilimia kubwa za content ya iq watoto hurithi kwa mama zao kama unataka kuzaa watoto mabashite kazi kwako!!!
Uoga wako ndo umaskini wako wanawake sie pambo la nyumba sasa wewe oa mke ka anatumbuliwa jipu
Sent using Jamii Forums mobile app

Kikubwa usivimbiwe

Hawa ni nuclear bomb tena yenye 50 megatons.Usiombe ukutane na mwAnamke anaetafuta wanaume walio fanikiwa
acheni ujinga, warembo waolewe na nani?Huwezi kuumbiwa uzuri na vigezo vingine km upeo, heshima, maarifa n.k sababu utajiona ww ni sawa na Malaika au Mungu jnc ilivyokuwa kwa shetani kule mbinguni.
So Wanaume wezangu stukeni mapema muwe makini ili mpate wake wema zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
sibebi kila mrembo lkn nachagua mrembo mwenye akili baasiKikubwa usivimbiwe![]()
UNA UTANI NA WAZEE WA KUOA SHOW OFF BADALA YA KUOA WAKE WEMA?
NGOJA WAJE KUKUTOA ROHO
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni ujinga, warembo waolewe na nani?
hata huyu wa kwako mwenye sura ngumu inakusababisha uchepuke, halafu wakati wa kumla unavuta hisia kwa mrembo, hayo ni mateso
Sent using Jamii Forums mobile app