Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Hata bure sioi mwanamke kama Uwoya na wengine wa sampuli hiyo. Ya nini kujitafutia magonjwa ya moyo, jaribu kudate na mdada mzuri utaipata habari yake

Wee waache tu wajipe moyo na misemo mkuu, nadhan hawajawahi date sampuli hizo
 
Tatizo Wanawake wengi hasa wale wa Chuoni hawaoni Mbali wanaona Wakiwa na kota tu kila siku ni Photoshoot na Kuweka Instagram kutafuta Danga Litakaloingia Mkenge ili Atrend kwa Lifestyle kitajiri
 
Uzuri hudanganya ,naupendeleo ni batili ,bali mwanamke amchaye Mungu na mwenye tabia njema ndio mke
 
Kuna wanaomcha mungu lakni ni wanafki haswaa.
Bora asiyemcha mungu na akawa mwema kuliko amchaye mungu na mnafiki, mzandiki.
 
Sawasawa, namtu amchae Mungu, hawezi kua mnafiki.

Akiwa mnafiki kuna siku atavunjika shingo tuu.
 
Wewee haujaona tatzo, hakuna kuvunjika shingo hapo wewe ndyo utavunjika moyo,
Kuna wanawake watakatifu na wanawake watakavyote.

Chunga sana
 
Maybe , ila nijuavyo mimi mwisho wa ubaya hua ni aibu, naubaya hata km upo ndan ya moyo wako utakuumbua tu.

Kwamfano, wee umwema ktk mahusiano, na demu wako anakua na vitabia vya siri, mbingu hazitokuacha upotee ,sanasana zitakusaidia kumuumbua uyu mtu mnafiki.
 
Achana na mbingu kwanza, mwisho wa ubaya ni aibu kweli, na mambo ya kusalitiana ktk mahusiano naona bora umwambie mtu kama haumuhtaji asepe zake.

Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
 
Irene Uwoya
Wema Sepenga
Aunt Ezekiel.
Lulu Michael
Hamisa Mobeto.
Nyamayao.
K-Lily
Gigy-Money

Kati yao woote niliowataja ni wawili tu wametulia kwenye ndoa zao, wengine vimeo.
So wanaume wako sahihi.
Yaani na gigy nae mzuri??? Hebu ngoja nikaangalie ramli inasemaje katika hili weee
 
Achana na mbingu kwanza, mwisho wa ubaya ni aibu kweli, na mambo ya kusalitiana ktk mahusiano naona bora umwambie mtu kama haumuhtaji asepe zake.

Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
Hahahaha kwakweli malipo nihapahapa tuu, sasa ningumu mtu kukuambia, hapa kilichopo nimbingu kukusaidia kujua uchafu wamtu,alafu kilichobaki unasema *yadunian yanaishia hapahapa*
 
Back
Top Bottom