Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wacha niendelee tu kusoma wachangiaji wenzangu maana mimi baada ya tukio langu Moyo na Akili vilishapata Ganzi kwenye mambo haya.
 
Wanasema kuwa na mwanamke mzuri au kumuoa ni sawa na kupanda miwa karibu na shule ya msingi, lazima iliwe tu,

kwa nini tupigishane presha bure, unajua ukishakuwa na mwanamke mzuri, mrembo muda wote unahisi unaibiwa tu.

Mim uwaambia kuwa siyo wazuri ili wasijione wako hvyo, sipendi kabisa kusifia.
hahahah hupendi kusifia tatizo kuna sambwanda matata unajikuta tu umegeuka kuona uumbaji wa Allah
 
Tofautisha kati ya Wanawake WAREMBO na Wanawake WAZURI.
Nadhani ulitaka kusema wanawake WAREMBO ndio unao ogopa kuwaoa.
Wanawake WAZURI ndio wanaofaa kuolewa.
UREMBO ni kupendeza kwa UMBO na SURA hali ya kuwa UZURI ni kufaa kwa tabia, yaani tabia njema.
 
Mm mwenzenu mama yenu mdogo ninayeishi naye ni mrembo haswa! Nimefanikiwa kuishi naye mpaka leo na kumzalisha watoto wanne kwa kumlisha YAMINI ya uongo. Mpaka watu wanadhania wife ni mlemavu wa maungo kwa utulivu alionao.
 
Ktk maisha yangu ya utotoni kulikuwa na kiwanja kimegawnywa mara mbili,upande mmoja kuna mabrother wetu walikuwa wanacheza Basketball sisi huku cha ndimu,sasa wale majamaa walikuwa wanagonga mademu wakali na wanabdilisha kila kila siku,sisi kazi yetu kubwa ilikuwa kutumwa Kiepe tuwaletee na mademu zao magetoni.Sasa miaka ya hivi karibuni nimekutana nao na wake zao ,yaani wote wameoa wanawake wakawaida ,mpaka kuna baadhi nikawa nawazingua ,nikawambia enzi zenu mlikuwa mnamega madem wakali sana mbona mmekuja kuoa madem wa kawaida,wakaniambia mademu wakali ni wakuchapa na kutambaa kwani wanaogopa presha.
 
Wakuu habarini humu ndani..

Mwenzenu nimegundua kitu kuhusu wanawake wazuri sana na warembo. Hawa watu hawafai kuoa!

Kwanza asilimia kubwa wana roho mbaya hawawezi kuishi na ndugu, hawana akili ya maisha, ni malaya, sio wavumilivu ndani ya ndoa na wana kasoro nyingi mno.

Nilichogundua washkaji wengi wenye wake wazuri ndoa zao zina shida nyingi mnoo. Ushauri wangu kwa vijana ambao hamjaoa tafadhali muwe makini na mabinti hawa warembo ni matatizo makubwa sana ndani ya nyumba.
 
Naunga mkono hoja 100%, niongezee kidogo;

Wana kiburi,
Ni maslay queen wengine hata kupika hawajui,
Wana imani dhaifu na ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga,
Wanapenda wanaume waliofanikiwa hivo huishia kuwa vyombo vya migegedo,
Wengi wana vibuyu kichwani, na asilimia kubwa za content ya iq watoto hurithi kwa mama zao kama unataka kuzaa watoto mabashite kazi kwako!!!
 
Back
Top Bottom