Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wakuu habarini humu ndani..,
Mwenzenu nimegundua kitu kuhusu wanawake wazuri sana na warembo,,hawa watu hawafai kuoa,kwanza asilimia kubwa wanaroho mbaya hawawezi kuishi na ndugu,hawana akili ya maisha,ni Malaya,sio wavumilivu ndani ya ndoa,.wanakasoro nyingi mnoo.

Nilichogundua washkaji wengi wenye wake wazuri ndoa zao zina shida nyingi mnoo.
Ushauri wangu kwa vijana ambao hamjaoa tafadhari kueni makini namabinti hawa warembo ni matatizo makubwa sana ndani ya nyumba.
Kila mmoja anamzuri wake
 
KUJIAMINI KWENU HUKU NDIKO KUNAWALIZA KILA KUKICHA KWA KUGONGEWA AU KUSHINDWA KUIMUDU NDOA.

SS WW UNA AKILI SANA KULIKO BABA NA BABU ZETU AMBAO WALIOA WANAWAKE WA KAWAIDA SANA NA WALIDUMU NAO MUDA MREFU TU KTK NDOA HADI UZEENI AU WALIPOTENGANISHWA NA MAUTI?
umeongea kweli, Watanzania hasa wanaume ni wengi ni waoga na hawajiamini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA UPOPOMA, SULEIMAN ALIKUWA NA WANAWAKE WANGAPI NA ALIRIDHIKA LINI KTK KUJAMIIANA?

KUTORIDHIKA NI NATURE YA WANAUME WOTE LKN NI NEEMA YA MUNGU NDIYO HUTUSHINDIA TAMAA ZA KIDUNIA NA KUJIHESHIMU.

JITAMBUE KIAKILI SIYO KIMIHEMUKO WW KILAZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!

Sawa mkuu, nimekuelewa!!

JF kiboko aisee,
Nimeambulia matusi hapaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ni nyani mzee tena mzoefu, wewe endelea kula wabovu huku umefumba macho

Sent using Jamii Forums mobile app
KAULI ZA KUKU WA KIZUNGU KWELI HIZI.

WW NDIWE UTAKUWA BINGWA WA KWANZA KTK MAPENZI NAKATI HATA SAMSONI MNADHIRI WA MUNGU ALICHEMKA?

HAKUNAGA BINGWA WA MAPENZI SAWA NA NJAA IKIKUSHIKA HUTAWEZA KUJITUTUMUA UVUMILIE.

SO ACHA MAWAZO YA KITOTO WW DOGO, KWANI SHULE SI ZIMESHAFUNGULIWA?

KAMA TATIZO NI ADA, NJOO KESHO KWANGU NITAKUSAIDIA WW MWANAFUNZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKILAZA SIYO TUSI, KWANI NI NANI AJUAYE KILA KITU DUNIANI?

HUO SIYO UJINGA SS IKIWA UTAKUWA HUJUI BAADHI YA VITU?

KAMA UMEISHIWA POINT NA UMESHIKWA PENYEWE NI HERI UKIWA MPOLE TU MAANA TAYARI DAWA IMESHAKUINGIA MWILINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili limewahi kumtokea jamaa mmoja, alioa mwanamke mzuri sana.

Siku za mwanzo mambo yalikuwa safi baada ya kufunga ndoa, kadri muda ulivyozidi kwenda. Jamaa alikiona cha mkata kuni

Mwanamke alifikia hatua ya kumtuma dukani mume wake.

Haikupita muda mrefu ndoa ikavunjika.
Jamaa ni boya
 
Back
Top Bottom