Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Naunga mkono hoja 100%, niongezee kidogo;

Wana kiburi,
Ni maslay queen wengine hata kupika hawajui,
Wana imani dhaifu na ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga,
Wanapenda wanaume waliofanikiwa hivo huishia kuwa vyombo vya migegedo,
Wengi wana vibuyu kichwani, na asilimia kubwa za content ya iq watoto hurithi kwa mama zao kama unataka kuzaa watoto mabashite kazi kwako!!!
Kabisa mkuu yaani ni tatizo kubwa sana
 
Wakuu habarini humu ndani..,
Mwenzenu nimegundua kitu kuhusu wanawake wazuri sana na warembo,,hawa watu hawafai kuoa,kwanza asilimia kubwa wanaroho mbaya hawawezi kuishi na ndugu,hawana akili ya maisha,ni Malaya,sio wavumilivu ndani ya ndoa,.wanakasoro nyingi mnoo.

Nilichogundua washkaji wengi wenye wake wazuri ndoa zao zina shida nyingi mnoo.
Ushauri wangu kwa vijana ambao hamjaoa tafadhari kueni makini namabinti hawa warembo ni matatizo makubwa sana ndani ya nyumba.
sio kweli kabisa mkuu, umeongea kwa ujumla sana wakati ni tatizo la ntu na ntu.
mke wangu ana akili ya maisha sana na naamini ni mrembo sana tu...ndiye miss world wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja 100%, niongezee kidogo;

Wana kiburi,
Ni maslay queen wengine hata kupika hawajui,
Wana imani dhaifu na ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga,
Wanapenda wanaume waliofanikiwa hivo huishia kuwa vyombo vya migegedo,
Wengi wana vibuyu kichwani, na asilimia kubwa za content ya iq watoto hurithi kwa mama zao kama unataka kuzaa watoto mabashite kazi kwako!!!
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utakua na mke polygon kama Becky hapa una tafuta upepo kuona kama ulioa halali..lol
 
Back
Top Bottom