Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Hili limewahi kumtokea jamaa mmoja, alioa mwanamke mzuri sana.

Siku za mwanzo mambo yalikuwa safi baada ya kufunga ndoa, kadri muda ulivyozidi kwenda. Jamaa alikiona cha mkata kuni

Mwanamke alifikia hatua ya kumtuma dukani mume wake.

Haikupita muda mrefu ndoa ikavunjika.
Wengi wao upstairs wapo empty
Wengi wao hawana heshima
Wengi wao hawajitumi kwenye mapenzi
Vizuri, visirani kwao ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMBAO WOTE MMEANDIKA UPUUZI WA KUTETEA MADA KUWA PESA KUWA NI KIGEZO CHA KUOA MWANAMKE MZURI WOTE NI 0% KICHWANI.

TAJIRI BORA DUNIANI NA MWASISI WA AMAZONI JUZI JUZI KAACHANA NA MKE WAKE INGAWA ALIKUWA NA UTAJIRI WA TOP 10 DUNIANI.

JE YEYE NA NINYI MATAJIRI UCHWARA WA HUMU MITANDAONI NI YUPI MWENYE PESA?

YEYE NA NINYI WENYE PESA ZA MIDOMONI MSIOTAMBULIKA HATA NA "FORBES" NI YUPI MWENYE AKILI HADI ASHINDWE KUISHI NA MWANAMKE MZURI KISA PESA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KTK KURA ZA USHINDI HUWA TUNAANGALIA WINGI WA WATU "MAJORITY NUMBER" WALA SIYO KWA MMOJA MMOJA.

SO KWA WINGI WA WAHANGA WALIOKUTWA NA MASWAHIBU KWA KUOA WANAWAKE WAZURI SANA NI WENGI KULIKO AMBAO HAWAJAOA WANAWAKE WAZURI SANA.
sio kweli kabisa mkuu, umeongea kwa ujumla sana wakati ni tatizo la ntu na ntu.
mke wangu ana akili ya maisha sana na naamini ni mrembo sana tu...ndiye miss world wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma comment ya mtu mmoja katika uzi HUU, "" hakika ni product ya wanawake wanaojadiliwa hapa"" (IQ).

Wakuu mmeona?
 
ACHA UJINGA SIYO KILA KING'AACHO NI DHAHABU.

RAHABU ALIKUWA NI MSICHANA MZURI SANA KTK BIBLIA KWA UREMBO HATA BAADHI YA TABIA NJEMA NDIYOMAANA ALIOKOA WATUMISHI WA MUNGU.

UNAJUA KWANINI PA1 NA YOTE HAYO ALIISHIA KUWA KAHABA TU HADI MAUTI ILIPOMKUTA BILA YA KUOLEWA?
acheni ujinga, warembo waolewe na nani?
hata huyu wa kwako mwenye sura ngumu inakusababisha uchepuke, halafu wakati wa kumla unavuta hisia kwa mrembo, hayo ni mateso

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni ujinga, warembo waolewe na nani?
hata huyu wa kwako mwenye sura ngumu inakusababisha uchepuke, halafu wakati wa kumla unavuta hisia kwa mrembo, hayo ni mateso

Sent using Jamii Forums mobile app
SIYO KILA MWANAMKE MZURI KIMAUMBILE BASI NDIYO TIKETI YA KUOLEWA, WENGINE HUBAKI KUTUMIKA KTK STAREHE TU LKN KTK MAISHA HUWA HAWANA VIGEZO VYA TABIA NJEMA.

AMKA USINGIZINI WW DOGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom