Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Kuwa msomi si sababu ya kuwa mlevi ulevi ni hulka na tabia ya mtu
Marafiki huingiza mtu kwenye ulevi.
Kuwa msomi si sababu ya kuwa mlevi ulevi ni hulka na tabia ya mtu
I dont drink so i'm officially skint.
Marafiki huingiza mtu kwenye ulevi.
Why don't you drink?
But I've seen the negatives of alcohol. Kuna watu sio wa kunywa aisee. Maybe it's for a good cause that you don't drink. Tena ulivyo mgumu I could imagine you drunk.
Ambao hawanywi inawezekana ni kwasababu tu hawana hela
Nani kamwaga Pombe yangutunaomba muhudumu wa meza hii tu .. Maji yasikauke mezani
Mtu asie na msimamo....mi nakaa na walev kila siku tangu nikiwa teenager na sijaingia kwenye ulevi
i dont know why i dont drink......