Wanawake wasomi ila walevi

Wanawake wasomi ila walevi

wanaume wenyewe wa siku hizi waoga kama nini wanaogopa mtu alosoma kidogo nakuchambua mambo.

ila kusema kweli most ya wasomi hujiweka kama sijui nini dharau , kuchagua wanaumw kama mchele wa x mass , mara vile mara hivi ile staha inapungua jaman tuache hizi tabia mambo ya kwenye mafile na home affairs zitenganishwe
 
Niliwahi kutumia bangi kwa ajili ya kusoma lakini tangu nilipomaliza masomo sina kileo chochote. Labda mtandao.

Weed kusomea tena??? Kumbe umefaulu UNDER INFLUENCE??? Kazi kweli kweli
 
Weed kusomea tena??? Kumbe umefaulu UNDER INFLUENCE??? Kazi kweli kweli

Mbona hii kawaida vyuoni!
Mkuu usichezee mabuku hayo yote kuyaweka akilini. Kama usipoboast akili, utakuwa kichaa.
Hasa sisi mascientists lazima kutop-up bangi kidogo.
 
Mbona hii kawaida vyuoni!Mkuu usichezee mabuku hayo yote kuyaweka akilini. Kama usipoboast akili, utakuwa kichaa.Hasa sisi mascientists lazima kutop-up bangi kidogo.

Mkuu naanza kuelewa kwanini watu wakienda KUTAHIRIWA mna-WAHASI Sayansi ya NDUMU.....
 
wanaume wenyewe wa siku hizi waoga kama nini wanaogopa mtu alosoma kidogo nakuchambua mambo.

ila kusema kweli most ya wasomi hujiweka kama sijui nini dharau , kuchagua wanaumw kama mchele wa x mass , mara vile mara hivi ile staha inapungua jaman tuache hizi tabia mambo ya kwenye mafile na home affairs zitenganishwe

Mwenye masikio na ayasikie maneno yako kuntu.
 
Siku hizi ni Trend ni Fqshion wanafunzi wa chuo utawaeleza nini kwa Pombe na Sheesha na Bangi na Sigara,hadi Bange.
My poor Sisters mapafu yatakapojaa maji ya kijani latter,we will happily bury you.
 
Back
Top Bottom