Wanawake wasomi ila walevi

Wanawake wasomi ila walevi

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Hali zenu?

Nimefanikiwa kukutana na karibia robo tatu wanawake niliowahi kusoma nao chuo kikuu.

Japo wana maisha mazuri, lakushangaza 75% yao hawajaolewa.Lakini la kushangaza zaidi ni kwamba 90% yao ni walevi(wanakunywa pombe ya bei ghali na/au hata kuvuta sigara).Nimekaa na kujiuliza, hivi ni kweli asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa au kuvuta sigara ni wasomi au ni coincidence tu?

Kama ni kweli, inachangiwa na nini haswa?
 
Hali Zenu?
Nimefanikiwa kukutana na karibia robo tatu wanawake niliowahi kusoma nao chuo kikuu.

Japo wana maisha mazuri,
La kushangaza 75% yao hawajaolewa.
Lakini la kushangaza zaidi ni kwamba 90% yao ni walevi(wanakunywa pombe ya bei ghali na/au hata kuvuta sigara).

Nimekaa na kujiuliza, hivi ni kweli asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa au kuvuta sigara ni wasomi au ni coincidence tu?

Kama ni kweli, inachangiwa na nini haswa?
Ndugu hiyo 75%, wapi nitakutana nayo?
 
Inategemea sampling yako umeifanyaje. Kama kampani yako ya chuo ilikuwa ya aina hiyo lazima 90 pasent ni walevi.

Swali dogo tuu, vp we hutumii kilevi?
 
Tafiti na wanaume wa sample hiyo hiyo, waweza jikuta unawapongeza hao wanawake
^^
 
Acha walewee.
Lete pombeeee meza inakaukaaaa.
Cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
mkuu hiyo asilimia umeionea kabisa aiseee.. inategemea na sample unachukulia wapi? mkuu chukua tena sample halafu uje......jaribu kuchanganya walio olewa na wasio olewa
 
Kuwa msomi si sababu ya kuwa mlevi ulevi ni hulka na tabia ya mtu
 
Inategemea sampling yako umeifanyaje. Kama kampani yako ya chuo ilikuwa ya aina hiyo lazima 90 pasent ni walevi.

Swali dogo tuu, vp we hutumii kilevi?

Niliwahi kutumia bangi kwa ajili ya kusoma lakini tangu nilipomaliza masomo sina kileo chochote. Labda mtandao.
 
Ambao hawanywi inawezekana ni kwasababu tu hawana hela
 
Back
Top Bottom