Wanawake wasiojua kukata mauno

Hongereni Kwa kuwaza ngono asubuhi asubuhi, sie tupo makazini tunajenga taifa. Na tutakapo kuwa matajiri, msituzushie kuwa sie mafreemasons maana hamchelewi. Nyie endeleeni kukata viuno Kama wacheza sindimba
Unajua watu wote walipo ni asbh tu?!
 
Ha ha ha ha ha ha ha
hahahahahaha usicheke yaani asubuhi yote hii mtu anaanza kuwaza mambo ya kukatika halafu huo mwandiko ni wakike au wa kiume wa mleta uzi kama ni mwanaume familia yake ipo matatani
IMG-20160112-WA0010.jpg
 
Hivi jamani tunaelekea wapi Tanzania hii!,watu wanawaza ngono tu oh!!!mara kukata kiuno mara kifo cha mende!! Maendeleo tutapata wapi? Mm Nadhani ni busara kujadili siku mpya ya leo tufanyeje kazi!! Na c ulielala nae usiku hajakukatia kiuno hicho ndo chakula chako cha leo naona,!usile tena leo mana umesha shiba.
 
Back
Top Bottom