ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,456
- 67,408
Usitucheke mama.
Usiniambie umerefukia ukubwaniMwenyewe nimenusurika kidogo ningekuwa na nyinyi![]()


Kiukweli, wanawake warefu huwa mnapendeza saana. Wakati nilipokuwa nataka kuoa nilikosa mwanamke mwenye sifa kama yako. Ikabidi nioe mwanamke mfupi tu. Maana urefu wangu ni 190cm kumbuka urefu wa kitanda ni 180cm
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha!
Na hii ndiyo JFKama tangazo hivi
ha ha ha, Una nukuu vibaya kiongozi, kasema akiwa hajavaa chochote "miguuni".Ungeweka picha ukiwa hujavaa chochote tuthibitishe kweli, usikute watudanganya...
Sent using Jamii Forums mobile app



ha ha ha!Ubaya wa kuwa mrefu ni kuendana na expectations za watu yaani ukiwa mrefu sharti uwe vyema kila sekta..
Uwe na nguvu, akili, Ujasiri na wengine hadi size ya viungo vya siri..
Nipo kawaida tu lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nawacheki tu nasema hiiii!Wafupi tunasoma comments tu.
ha ha ha! Pombe's VoiceMe nawacheki tu nasema hiiii!
ndioo
Dah!Ninyi ni warefu hadi mnaiona kesho kwa urahisi.Hats mimi mwenye ft 6 nawapisha muende zenu.Yaani hata sisi tukipita watu wanadhani sisi mapacha, sema tu rangi tumetofautiana meenzangu ni super black na mimi ni super white, hao watoto sasa ni fireee
Urefu raha jamani ukienda mahali huna haja ya kujitambulisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mi na Kevin Hart ni mapacha, so tall like damn!
Nawe ni supa tolu?