Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Hana lolote huyo, utoto unamsumbua. Hawa ndio wale kuosha vyombo na kufua geto kwa mwanaume wake anaona kama anamfanyia favor sana. Watu wa kumaindisha vitu vya kijinga. Hekima tu ni 0%
 
E bana huyu ni dada yangu mmoja ivi ndio ana tabia hizo. Aisee kampanda mumewe kichwani mpaka aibu tunaona sisi kaka zake. Sijui kamloga? Maana kuna vitu mwanaume mwenzio anaweza kuwa anafanyiwa we ukiangalia hasira zinakupanda vibaya sana!
Kuna siku tupo kwenye harusi watu kibao ndugu, jamaa na marafiki na huyo dada alikuwepo na mume wake. Yaani dada anadiriki kuwaambia watu "huyu ni mwanaume? We unaona kuna mwanaume hapa? Yaani wanaume wakiitwa na huyu atatoka?" Na maneno mengine kama hayo na jamaa anasikia..! Yule jamaa kusema kweli nilishindwa kuelewa ni nini hasa tatizo. Ila sema saa nyingine mwanaume ukiwa mpole sana halafu uwe huna hela aisee utapata tabu sana hapa duniani labda usiwe na mwanamke.
 
Hasa wanawake si ndio?
Kwenye kuitafuta amani wote mpo responsible. Lazma muhakikishe all stressings are out! Vitu ambavyo sio vya lazima muachane navyo concetrate on what works kwa wakati huo na kushirikiana. Mambo ya kuvimbiana ndio yanaua amani katika ndoa nyingi. Ukifanyia jambo zuri mpenzi wako humfanyii favor bali unatekeleza wajibu wako kama patner. First approach towards a happy relationship.
 
Aisee mie ni mpole ila muongeaji mzuri na pia siwezi kuvumilia uonevu. Personally, siwezi vumilia kauli ya namna hio nitaingia lawama tu ya kumpasua mtu.

That only happens when a woman decides to put you down na wewe ukaruhusu. Hio haijaanza ghafla but ni series ya vidharau vidogo vidogo ambavyo mke alianza navyo taratibu ila jamaa akavipotezea tu.

Na jamaa huenda labda hana hela, ila siku akizipata akamtolea mbavuni huyo mwanamke ataonekana mshenzi
,,, "ooh wanaume wakipata hela wanaanza kutudharau" ila msingi wa kudharaulika wanaujengaga wao ila anayemaliza ndio huonekana mkosaji.
 
Mkuu huo uhalisia nauelewa mimi tu maana utekelezaji wake nishawahi kuufanya mara kadhaa. Muonekano wake unatakiwa uwe kama hiace iliogongwa na scania 😂😂😂 ili adabu ishike mkondo wake.

Mwanamke ananyanyuaje mdomo na kujibu utumbo. Labda afanye hivyo kwenye simu. Ila sio ana kwa ana ntamfumua vibaya mno.
 
ndio mana i dont entertain bullshit, you put them grade A, the moment they open their mouth they drop to the lowest grade. Leo nlikuwa mlimani city jaman kuna wanawake wanajiona gold aisee.... acha kabisaa
Hahah hao si wana Kaole group lakini. Ukiwakuta pande zao wanapigwa na mvua vituoni utawaonea huruma.
 
umeongea jambo la maana sana mkuu bt mi nadhani tatizo kubwa ni malezi, ke walolelewa vizuri wana-behave sana kwa waume zao nadhani mfano wao ni wewe unaekerwa na jambo hili, kwa kua umeongea wewe mwanamke mwenzao natumai watakuelewa uzuri
Malezi is everything mkuu, watoto wa kike waliolelewa na wazazi waliopendana vyema bila migogoro au wenye ukaribu na baba zao zaidi wana upendo
na huruma sana hata wakiwa ndoani.
 
Unapenda kulaumu wanawake wewe sijui unataka ku impress wanaume humu as if wewe ni mwanaume, I always prefer a solution taker kuliko a blame person, coz hapa JF mada za kusema wanawake ndio hupata comments nyingi.
 
Mwanaume akikolea na akikamatwa kwenye ngono kuchomoka sio kazi nyepesi.
 

Upole hauna shida na hilo tatizo kuwa mpole adi ushindwe kuusimamia uanaume wako mpaka unakuwa mnyonge ni upumbavu. Me ni mpole lakini kuna mambo siyaruhusu kabisa bora niachane na mwanamke kuliko aanze kunitawala kunishushia heshima. Kuna wanawake wengine wanafanya hayo kwa makusudi baada ya kujua madhaifu ya mwanaume wake na mwanaume kwa hofu ya kumpoteza inamlazimu akae kimya awe mpole tu bila kujua ndio anachochea moto.
Mtu asitumie madhaifu yako kukunyanyasa, upendo wa kweli ni ule unaoona madhaifu yako na bado heshima na mapenzi yanabaki pale pale, ukishaona mtu awezi kuvumilia madhaifu yako ujue hawezi kukupenda na njia pekee ya kumuepuka ni kuachana nae tu maana hata ukijishusha ukawa mpole bado sababu ya kukudharau anayo.
 
Mwanaume kama huna hela confidence inapungua, sasa hawa viumbe wakishalijua hilo atatamani arenew ndoa akuoe yeye
 
Ni kweli mkuu. Ila hata kama huna hela aisee kuna kiwango fulani cha uanaume unatakiwa uki maintain. Kinyume na hapo hawa viumbe watakunyanyasa sana.
 
Nakazia mithali 11:22 kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…