Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Hapo hakuna upole mwanamme ananyenyekea pesa tu.

Sidhanj hapo wanekutana watu wenye malezi tofauti mke njiwa mume tai tai anajishusha aendane njiwa maana anajua akiamrisha wakiriamsha dude mke hataweza mziki wa mume.
 
Sidhanj hapo wanekutana watu wenye malezi tofauti mke njiwa mume tai tai anajishusha aendane njiwa maana anajua akiamrisha wakiriamsha dude mke hataweza mziki wa mume.
Mwanamke alisikika akisema "chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi."

Hapo ndipo kwenye mzizi wa fitna.
 
Mwanamke alisikika akisema "chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi."

Hapo ndipo kwenye mzizi wa fitna.

Duuh jamaa kakamatika na mke hana adabu waweza kuta mume kafukuzwa kazi wake wasio na malezi bora ndio hao , siku mume hali yake kipesa ikirudi ndio respect and love huonekana hao wa no money no love kwenye ndoa sio , sasa yamemkuta keshao tayari kaona upande wa pili wa mke mwenye tabia za kihawara.
 
AIsee!!!!😂 kmmk
 
Unapenda kulaumu wanawake wewe sijui unataka ku impress wanaume humu as if wewe ni mwanaume, I always prefer a solution taker kuliko a blame person, coz hapa JF mada za kusema wanawake ndio hupata comments nyingi.
Amesema Ukweli, Wanaume lazima tuheshimiwa na siyo kuleta ushindani wa kijinga eti haki sawa,simama kwenye nafasi yako Kama Mwanamke na utawa enjoy sana Wanaume!!
 
Pale hatma ya maadili ya jamii inapokuwa mikononi mwa makungwi wa facebook, instagram na vipindi vya redio vya wapiga soga!
 
Kumekucha tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa tukutane mbinguni[emoji119][emoji119][emoji119]we dada ni hatari[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Uliwahi kureply mahali kuwa "mwanamke ahamki tu akaanza kukudharau". Kuna pahala mwanaume unakuwa umezembea, inakuwa alianza kustawisha hiyo tabia taratibu nawe kama mwanaume ukapuuza.
 
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa tukutane mbinguni[emoji119][emoji119][emoji119]we dada ni hatari[emoji1787]
Hahaaa tukutane mbinguni kwa kweli, maana watu wengi wanaisali sali ndio vinara wa unafiki, kuhumu wengine kuwa watenda dhambi, huku na wao wanafanya kisiri, Bora watu wa size ya Kati, kwa kweli naona Bora tukutane tu mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…