Igweeeeeeeee
Wakuu habari za siku nyingi, hope mnaendelea vizuri na maandalizi ya mechi kubwa Simba v Ali Ali....
nimekuwepo jijini hapa kwa zaidi ya miongo miwili sasa na nimeshuhudia mengi tofauti na hali ilivyo mkoani hususani katika suala na kuolewa na ndoa kwa ujumla
Kulingana na lifestyle ndani ya jiji, imekuwa ni ngumu sana kwa wanawake ndani ya jiji hili kuolewa, wengi huishia kudanga
Wanawake wengi huendeshwa na tamaa za standard za juu ambapo vijana waoaji ndani ya jiji wengi bado wanajitafuta hivyo hukimbilia mikoani kwao kutafuta wanawake wasiokuwa na tamaa na kudanga kama wanawake wa Dar
Wanawake wachache sana ndani ya Dar huolewa lakini ndoa zao hazidumu kwani tabia zao za tamaa na kudanga hazivumiliki, angalia rate kubwa ya divorce katika nchi hii ipo Dar es salaam
Ewe kijana wa mkoani uliyezamia Dar, wachana na mawazo ya kuoa mwanamke uliyemkuta Dar, rudi mikoani huko wives material wamejaa