pole sana ila siwezi oa hiyo type yako endelea kupumua
pole sana ila siwezi oa hiyo type yako endelea kupumua
Wanamme wanaonunua wanapandisha thamani ya mwanamme?
Thamani ya mwanamke ni nini?
Una maanisha sasa hivi unamdharau mamayo sababu ya wanawake wanaouza?
Pole Husny, umekosa mume.
Yani na matatizo yote ya dunia hii mtu unapoteza mda wako kuangalia wenzako wamevaaje? Yanakuhusu nini!
unaelewa maana ya mavazi,unajua impact,effect na cause kwenye external enviroment
ONE DAY UTAULIZWA WHY ULIMSUPPORT DIJAL