Wanawake wanaitwa laini laini kimakosa…!

Wanawake wanaitwa laini laini kimakosa…!

ahahhahahhahaha ngoja Mtambuzi aje !mi simoooooooooooooooooo
aongeze kijiko cha nini?? limbwata au!!!!


kwenye whitepatty usikose... sema unaenda kwenye kitchen patty..... ili ruhusa itake fasta
white party mh!ngoja nikae kimya!
 
Last edited by a moderator:
Thanks Mtambuzi kuna jambo umeniambia hapa lilikuwa linanistajabisha kila wife akiwa na mgeni wake wa mwezi. ie very careless
 
Heh! Kumbe na wewe ni SHE mwenzetu, mm nilikuwa najua wewe HE! Nafurahi kujua tuko wengi humu JF!

looh! Hujashangaa kama mimi kwani hata ushauri wake unaonyesha He, mwache mungu aitwe mungu
 
hata mimi ila napenda kuona wanaume ila wasiniongeleshe wakae tu niwaangalie ila wasiniguse

Haahahaha! ya kwako kali wewe unapenda kuwaangalia, basi mimi sipendi kuwaangalia maana nahisi wanajua niko kwenye hali gani, so sipendi kuwaangalia.
 
Mh, mkuu si kwamba umechanganya mada kweli.....!!!!
Hii ya kichaa cha mwezi si kile wanaita mwezi mchanga? hicho nadhani kinatofautiana na hiki kichaa cha hedhi.... Ngoja nifanye utafiti nitakuja na majibu baadaye
Nangoja hii elimu ili niweze kujua zaidi hizi mambo ili tuwe na proper and appropriate family caring.
big up Mtambuzi.
 
kitendo tu cha kuona siku zangu kinanipa hasira kubwa mno,
(mara zote ndipo namwambia Mungu kwanini ulitupa wanawake adhabu hii)?
tena kinaniletea uvivu mkubwa hata kazi kufanya sipendi,
hata nikijiweka kwenye usafi kivipi bado najisikia ninanuka ooooh,
sipendi kabisa hii kitu inaitwa period.

Pole sana. Ila kuna wanawake wanaopenda period:confused2:. Sasa hata sijui wanaipendea nini kwa kweli.
 
Mtambuzi kwanza kabisa niseme 'sorry'
hivi wale ambao hata wakiwa kwenye siku wanakutana kimwili huwa hili nalo linatafsiri ipi?
 
Last edited by a moderator:
ukali unahusu ktk hicho kipindi,ila huwa najicontrol sipendi mtu anihoji maswali mengi na nikijibu sipendi kurudia marambili kwa sababu tayari ananiudhi duh acheni Mungu aitwe........afu naww Mtambuzi mambo ya kuzungumzia hii makitu bila kuweka vivid examples za mama ngina hapa sio kabisa au huwa unachezea vitasa.
 
Yaani watu wameongea vidalili/vijitabia vingivingi.
Hasira, sijui kutopenda kuangaliwa . . .wengine kichaa,
Mbona mie sinaga wajameni au sio mzima wandugu?? LOL


Labda hilo la Mtambuzi nianze kujichunguza, yawezekana huwa inatokea ila sijali.
 
Last edited by a moderator:
Yaani watu wameongea vidalili/vijitabia vingivingi.
Hasira, sijui kutopenda kuangaliwa . . .wengine kichaa,
Mbona mie sinaga wajameni au sio mzima wandugu?? LOL


Labda hilo la Mtambuzi nianze kujichunguza, yawezekana huwa inatokea ila sijali.

basi ww ni exception to the general rule manake kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosi.Pongezi sana
 
Back
Top Bottom