Wanawake wanaitwa laini laini kimakosa…!

kuna kichaa pia kinachokuja na hedhi-menstrual psychosis............tulikuwa zamani tunaita kichaa cha mwezi au wenye nacho wakiugua tunasema mwezi umeandama lol

Hiki kichaa cha mwezi huwa kinapona???
siku hizi sikioni....
 
kitendo tu cha kuona siku zangu kinanipa hasira kubwa mno,
(mara zote ndipo namwambia Mungu kwanini ulitupa wanawake adhabu hii)?
tena kinaniletea uvivu mkubwa hata kazi kufanya sipendi,
hata nikijiweka kwenye usafi kivipi bado najisikia ninanuka ooooh,
sipendi kabisa hii kitu inaitwa period.
 
Heh! Kumbe na wewe ni SHE mwenzetu, mm nilikuwa najua wewe HE! Nafurahi kujua tuko wengi humu JF!
 
hahahahahaahah! Mm huwa nashindwa kuongea, na pia napenda sana niwe pekeyangu na sehemu iwe kimyaaaaaa!! yaani sipendi kelele, Halafu huwa sipendi kuangaliwa usoni, kwa hiyo huwa naangalia chini wakati wote mpk nitakapomaliza ndiyo nakuwa na uwezo wa kumuangalia mtu usoni.
 
aisee hizi days ni vizuri kuwa mbali na mimi
hasira, jamani ,ila nina tatizo lingine sugu siwezi kulisema hapa

kwa siku hizo za mwezi kupiga chabo unahama kitanda au mumeo ndio anahama?

hilo ambalo huwezi kulisema tuPM mimi na Mtambuzi tuone tutakusaidiaje
 
hahahahahaahah! Mm huwa nashindwa kuongea, na pia napenda sana niwe pekeyangu na sehemu iwe kimyaaaaaa!! yaani sipendi kelele, Halafu huwa sipendi kuangaliwa usoni, kwa hiyo huwa naangalia chini wakati wote mpk nitakapomaliza ndiyo nakuwa na uwezo wa kumuangalia mtu usoni.

duh pole kwahiyo siku zote kama zinakuwa 2 au 3 wewe na sakafu tu hata mr humwangalii??

kaazi kweli kweli wengine kipindi hicho ndio tukirudi tuna kiu kweli tunaanza kulia... sijui inakuwaje hapo
 
Mbona mimi siumiagi, ubandidu ndo unazidi na kisirani...lool

Unaposema ubandidu unamaanisha nini MadameX..? Baadhi ya mabinti waliwahi kuniambia wakiwa ndani ya ciku zao miili yao inacikia hamu ya kubanjuliwa.. Actually kuna mmoja ambae alikuwa analazimisha.. Unaisemea vipi hii Mkuu Mtambuzi..?
 
kitendo tu cha kuona siku zangu kinanipa hasira kubwa mno,
(mara zote ndipo namwambia Mungu kwanini ulitupa wanawake adhabu hii)?
tena kinaniletea uvivu mkubwa hata kazi kufanya sipendi,
hata nikijiweka kwenye usafi kivipi bado najisikia ninanuka ooooh,
sipendi kabisa hii kitu inaitwa period.

mamito!!! mie najisikia proud sana kwenda mwezini kila mwezi! nachukulia kama ni mwanamke mkamilifu and i thank my True Lord for that!!!
 
duh pole kwahiyo siku zote kama zinakuwa 2 au 3 wewe na sakafu tu hata mr humwangalii??

kaazi kweli kweli wengine kipindi hicho ndio tukirudi tuna kiu kweli tunaanza kulia... sijui inakuwaje hapo

Tena akishaniona niko hivyo tu , huwa hanibuguzi kabisa, huwa anakuwa mpole, maana anajua hata afanyeje sitomjibu kitu. huwa nashindwa kuelewa ni kwa nn inakuwa hivyo, Na hata kama anakiu siku hiyo hawezi kabisa kuniambia hicho kitu.
 
kwa siku hizo za mwezi kupiga chabo unahama kitanda au mumeo ndio anahama?

hilo ambalo huwezi kulisema tuPM mimi na Mtambuzi tuone tutakusaidiaje
sina mume ningekuwa nae ningemvunja mahali aisee
 
hahahahahaahah! Mm huwa nashindwa kuongea, na pia napenda sana niwe pekeyangu na sehemu iwe kimyaaaaaa!! yaani sipendi kelele, Halafu huwa sipendi kuangaliwa usoni, kwa hiyo huwa naangalia chini wakati wote mpk nitakapomaliza ndiyo nakuwa na uwezo wa kumuangalia mtu usoni.
hata mimi ila napenda kuona wanaume ila wasiniongeleshe wakae tu niwaangalie ila wasiniguse
 
khaaaaaa........wee nawe!!! ngoja niku PM nikuvurumushie sasa!!!!

kuanzia sasa ntaanza kuwachunguza ili kujiridhisha kama kuna ukweli ndani yake kama kipindi mnapanda appolo kwenda mwezini mnakua zile hasira za mkizi ama la.
 
naona hapa wamama umewashika ndugu mtambuzi
 
Back
Top Bottom