Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
Kwa kiswahili fasaha unaitwa musuli, ukiita msuli utamaanisha ule unaovaliwa na wazee wa Pwani
hiki kitakua kiswahili cha kidigo.
Kwa kiswahili fasaha unaitwa musuli, ukiita msuli utamaanisha ule unaovaliwa na wazee wa Pwani
basi ww ni exception to the general rule manake kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosi.Pongezi sana
dingi Mtambuzi katokomea sijui sahizi anajipakulia mang'anyu na kujisevia vya mezani!!!!!!!!!!ngoja tumsubirie kesho mida hii yuko pembeni ya totoz.Ngoja dingi Mtambuzi aje kufafanua.
Tusijekusema ni exceptional kumbe there is something wrong.
Mi naonaga kawaida tu siku inaenda mpaka inaisha . . .
Wewe binti hebu shika adabu yakodingi Mtambuzi katokomea sijui sahizi anajipakulia mang'anyu na kujisevia vya mezani!!!!!!!!!!ngoja tumsubirie kesho mida hii yuko pembeni ya totoz.
Mh, sijui kwa kweli lakini haya mamabo ya chumbani mie siwezi kuyasema hapa maana kila wapenzi au wanandoa wanajuana wenyewe.Mtambuzi kwanza kabisa niseme 'sorry'
hivi wale ambao hata wakiwa kwenye siku wanakutana kimwili huwa hili nalo linatafsiri ipi?