Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko wanaume

Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko wanaume

Wewe Ke au Me kama Ke unashindwaje Bhana usituangushe
🤣🤣🤣Best mimi ke nifundisheni mfano umevaa top imebana/blauzi/gauni sehemu gani unaitolea kwenye kwapa au?
 
Hiyo tu si kigezo kikubwa kivile. Wanaume tumeubwa ku lead, tukapewa na logical minds.. wao wameumbwa kulea kukuza kutunza.. thats why wana uwezo huyo.

Lakin pia one thing is kuna special case ya wanaume ambao ni ma genius, wanauwezo wanku process zaid ya hayo tena ndani ya muda mfupi zaid.
Hongera, but Wanawake thamni yao iko pale pale
 
Bila kusahau unaweza kuacha buku mezani lakini ukakuta amekupikia mapocho pocho
Ni kweli kwa hili nakubali...wanawake wanajua kujiongeza kuliko Men

Niliwahi kuona mara nyingi kwa mama yangu tangu tukiwa wadogo.
 
Back
Top Bottom