Wanawake walioko kwenye 30s

Habari yako wifi yangu
Mekumiss mno
 
Ili lina ukweli flani Kaizer na sbb ulizozitaja many times ni key factors. Kwa umri huo fighting for maendeleo spirit inakuwa very high..so mawazo ya maisha na nini kutafuta yanakuewa yameshajengeka kwenye akili na fikra za watu hawa.

Most of them si wategemezi, utakuta tayari wana maisha yao na wana earn something kwa theire daily bread na sometimes wanaweza kuwa hata msaada kwa waume, boyfriends ana lovers wao hata kwa kidogo wanachoingiza kwa siku.

Hawana tamaa za kijinga jinga zile za kushinda na kulala club, kutaka show off za kuzunguka na gari mjini,wanaita kuosha au kula bata. Outing zao ni simple za heshima na ni occationally.

Kule kunako 6 by 6 ndo usiseme ushuhuda wako hapo juu watosha.
 
Last edited by a moderator:
na wao walipitia huku 20's ko nasi tukikua tutakuwa na character hizo hapo juu..

jaman ila mi nilikuwa nahis naenjoy sex ile mbaya kumbe kuna miaka nikifika ntafurahia
zaidi.I cant wait for my 30's
jitahidi usiachie sana waweza chuja;kuna criteria zake
 

siku hazigandi jamani tutafika tu kwenye hizo 30s zao kwani na wao wametokeahukuhuku tulipo
 
Last edited by a moderator:
Ingawa kwa maneno makali, na ingawa sisupport unachokifanya; lakini unaongea ukweli.
 
Hapa leo mnadiskasheni mswada gani wa katiba?

Mtu yeyote mwenye mapenzi mema na ODM hebu akuje PM fasta. Wa jinsia ya kike mwenye miaka 30 mpk 39 atakuwa na added advantage
Wakezo mbona weshakuvunja mgongo, wataka nini tena? Wewe ndio wale wa "subiri nakuja........." ..... huku ukitafuta blue pills
 

Uncleeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!! Umesomeka kwa sana tu!
 
Kumbe eee ngojea nifanye jitihada za kutafuta 30'S sijawah kutoka na umli huo..Huwa nacheza sana kwenye 20'S nimekuwa insipired na sifa hizo sifa sasa natangaza rasmi kuingia mawindon

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lakini vilevile ni rahisi kuwapata!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…