platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Msitujazie PMs za vitoto vya 20s
Ila men wanaanza kuwa men in their 40s, ndio maana 30s wenzangu nawadisqualify haraka sana, wao size yao ni 20s.
Roho mbaya tu
Msitujazie PMs za vitoto vya 20s
Ila men wanaanza kuwa men in their 40s, ndio maana 30s wenzangu nawadisqualify haraka sana, wao size yao ni 20s.
Kaizer mi nahisi hayo mengi yanatokana na mdada mwenyewe....yan kuna wengine wakiwa kwenye shughuli wanakuwa macho juujuu km tochi...unadhani atafika kileleni?
Kuna wadada wana pozi bhana yan akiguswa tu kalegea lol
Umri haumati sana.
Tatizo la 20s wanatakaga kujifanya mafundi lol wanaishia kumridhisha mwanaume tu (Na ndio lengo lao)
Ila kwa 30s wao lengo lao huwa ni mautamu tu.
Ndo umegundua leo mdogo wangu Kaizer?
Ndiyo maana nilishasema kuwa,.. if I were to redo it...not to a girl or anyone who has not passed 3.5 decades...hata kwa kupewa kisiwa kama Zanzibar...
Utu uzima dawa....
Babu DC!!
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.
Wanajamvi habarini za weekend?
Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.
Ha ha ha.....! wewe shemeji umepinda kabisa. Afadhali ungezaliwa na kusomea hukohuko kwenu Lushoto.
Hii habari ya Kinondoni na mbuyuni imekuharibu
Ahsante kajukuu,
Babu yuko kwenye hali tete...pensheni inakatika ghafla...
Babu DC!!
ndio maana nikasema kama yuko free from externalities.
lakini swtlo tujadili kidogo juu ya nini huwafanya wawe jinsi walivyo??
ni kwamba mara nyingi sana huwa wako tu ni watu wa kujiachia sana kwamba hawana disturbance za achievements. ukiangalia at that age wengi huwa tayari wana ndoa ama hata kama hana ndoa basi huwa na mtu ambaye anajua akimuhitaji atampata tu. istoshe hata kama ana cheat na mume wa mtu hujikuta kwamba hacheat kwasababu ya vitu anavyovikosa kama vile ambao wako at 20's wanavyofanya. mara nyingi mwanamke wa 30+ akijichanganya ni kwasababu anataka na si kwasababu ana shida iwe ya pesa ama nyumba ama gari etc.
na kuna jarida moja la kenya nilikuwa nalisoma hapa limeandikwa na mombasa raha kwamba wanawake wa 30+ huko kenya ndio wanaoongoza kuwa na soko kubwa zaid la wenzi wa nje ya ndoa na kwamba wako free sana kwenye kujiachia. wamesema sababu kubwa ni kwamba hawa wa 20"s wako na macho mawili mawili sasa watu wazima wenye heshima zao huwatafuta hawa mabao ni watu wazima zaid wanatoka nao kwa usiri mkubwa sana, na sio too demanding.
to me mwanamke wa 20's mwache a explore hadi akinai kabisa ili akifika 30+ ajue anataka kufanya nini ama anategemea kufanya nini.
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.
ehehhehhheheh babu nimekumiso ujue!
na wao walipitia huku 20's ko nasi tukikua tutakuwa na character hizo hapo juu..
jaman ila mi nilikuwa nahis naenjoy sex ile mbaya kumbe kuna miaka nikifika ntafurahia
zaidi.I cant wait for my 30's
20's Unaingia naye chumbani hamjakaa vizuri; mara anaparamia dude na kuanza kulibugia .... Mwanamke kuandaliwa sio yeye kukurupuka kuchezea dude la kidume.
Hii thread watu wanafunguka tu umri wao (na hili ndio kusudio la ankal wangu@kaizer....... Msijiulize kwanini!! Lol).