Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

Nashukuru sana kwa kulitambua hilo.
Sasa umeona mwanamke mwenye 40s hawezi beba mashosti kwenda kulichuna buzi na hili neno buzi linatumiwa sana na 20s

ila mi hili neno la buzi ni kama nimelikuta vile
 
Hapa leo mnadiskasheni mswada gani wa katiba?

Mtu yeyote mwenye mapenzi mema na ODM hebu akuje PM fasta. Wa jinsia ya kike mwenye miaka 30 mpk 39 atakuwa na added advantage
 
Mpwa Fidel80 apo ujue akili zao bado hazijakomaa.kama.ulivosema wana mawazo ya "chuna buzi" na kudhani watakuwa kwenyr hiyo 20s forever

Hao walioko kwenye 20s ni wachache sana wanao waza maendeleo wengi wao wanachuna babu/buzi kwa ajili ya kuweka dawa nywele, kunywa supu kila siku, kununua pamba kali kali, lipstick za bei mbaya, kwenda kujirusha club za bei mbaya, kwenda saloon za bei mbaya wakati anaoga maji ya chumvi anakuwa na sura kama mdoli.
 
Chocs njoo mama kuna katopic kanakuhusu huku.
Ila wewe sio mtoto ingawa unanichanganya sana mwenzio
Usimwage mchele kwenye kuku wengi huz
Mambo yetu yalee hata hayazungumziki daaarh hadi umenikumbusha
Napata utamu kabla
Hebu leo uwahi mana hali si nzuri
 
gfsonwin si useme tu? Au hadi umsikie FirstLady1?

Hamjafika 30's nyie!

niseme nini tena jamani???

out of my own experience, i did enjoy love making zaid baada ya kufika 30 yrs.
and tofauti ilikuwa kwenye ile feeling at easy haikuwepo kabisa b4 that kwani unawaza sijui nakaa kwa baba mwenye nyumba, sijui hubby ana nicheat sijui nita conceive et al............

but nilipomaliza hivi vibarua wallaaaa sipati shida mpera nauskilizia ile mbaya bana acha tu. hofu yangu ni kwamba soon grafu itaanza ku deminish as 40+ unaanza kuwa overwhelmed na fear of menopouse khaaa! na ujue wazi kwamba grafu ya pleasure ya sex ina grow katika sigmond curve. kwahiyo huacclimatize na kuwa at peak kwa muda kisha inaaza kushuka tena.


haya ngoja kwanza nichape kazi baadae bana.
 
Wanajamvi habarini za weekend?

Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi:

1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi
2.ni rahisi kufika kileleni maana wako a bit free..wameshajiestablish kimaisha nk
3. Kutokana na 2 apo juu wanafurahia zaidi tendo la ndoa
4.ni waelewa sana..sio nagging, kifupi wamekua.
5.ni wasafi, wanavutia sexually.

Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.

Ni mtazamo wangu tu.labda kwa vile mimi nipo kwen late 40s😉

Sijui wengine mnaonaje....ruksa kuongeza.

Cc: Mtambuzi Asprin The Boss MziziMkavu KakaKiiza Baba V Sandeni Judgement Erickb52 Arushaone Filipo Nicas Mtei Mtoto halali na hela Bishanga

Bcc: gfsonwin cacico lara 1 AshaDii amu snowhite Madame B ladyfurahia charminglady KOKUTONA Passion Lady Zahra White Ray b BADILI TABIA Kongosho King'asti Heaven on earth sweetlady mimisa Graca marejesho Arabela mandenyi The secretary


Swadata, umejua lini habari hii?
Ungekuwa karibu ningekupa zawadi maana umeHIT mule mule.
 
Wanajitambua limits pia
Kuna umri wa kudhani anajua kila kitu
kuna umri wa kukubali unayoyaweza na mapungufu pia

Na pale ndio huwa wazuri kwa kweli, a woman, not a girl.
Kongosho weka na namba basi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom