Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

sawa babu, siku hizi nimekuwa mjukuu mtiifu mpaka najishangaa

Ndiyo maana ulitoroka kutoka mafichoni....

Hahahahahahahahh......

Nakumbuka siku ile unapiga ukungwi na kuapa mbele ya vichuguu na milima...lol!!

Hii ndo JF bwana....

Babu DC!!
 
Ndiyo maana ulitoroka kutoka mafichoni....

Hahahahahahahahh......

Nakumbuka siku ile unapiga ukungwi na kuapa mbele ya vichuguu na milima...lol!!

Hii ndo JF bwana....

Babu DC!!

hahahahahaha! Babu babu... Ntakusemea kwa bibi!
 
hahahahahaha! Babu babu... Ntakusemea kwa bibi!

Haya bwana, naomba tuishie hapa...nisije nikakosa mtu wa kupiga naye hadithi za kutafutia usingizi mwenzio...

Ulale salama ili ukue kidogo..

Babu DC!!
 
Haya bwana, naomba tuishie hapa...nisije nikakosa mtu wa kupiga naye hadithi za kutafutia usingizi mwenzio...

Ulale salama ili ukue kidogo..

Babu DC!!

babu mimi ni wa 30s, haya masifa yananihuu sana tu. Lol. Usinidogoshe tafadhali...
 
Haya bwana, naomba tuishie hapa...nisije nikakosa mtu wa kupiga naye hadithi za kutafutia usingizi mwenzio...

Ulale salama ili ukue kidogo..

Babu DC!!
usikimbie kwanza babu....
unajua hapa sijaweza sana kuchangia maana sijui sasa sisi ambao tupo above inakuwaje?
 
Ama kweli siri ya mtungi,aijuaye kata! Vigezo vilivyotumika vinawahusu wanawake wa mjini au shamba?
 
Kaizer wewe ni Sheikh Yahya wangu, umepiga bulu, umejuaje, hizo sifa zote ulizomwaga zipo kwa Preta wangu, alipokuwa katika 20's alikuwa moto, full matata, nkichelewa kidogo tu madongo, lakini leo katika 30's nauona uzuri na umahiri wake kwa bedi, kwa jiko, kwa mfuko (Sipungukiwi si unakumbuka ile Pretamanga Inn), hata kinywa chake kinazidi kuwa kisafiki kadiri miaka inavyosonga mbele, wabarikiwe 30's ladies!!!
 
Last edited by a moderator:
hapa ni subiri kumbe hadi my UBAVU afikishe huu umri30# ndo nimsogeze kwa ndani!! Asanteni sana!
 
Kiukweli yawezekana uloyasema yakasawili ukweli.
kikubwa ni kwamba in 30s wamekua. Hata kama wakawa na
mengine kando sidhani kama watakuwa kwa asilimia kubwa
kivile. Maana hata yaliyotajwa si kwa wote bali ni kwa asilimia tu kwa wote.
 
Kaizer wewe ni Sheikh Yahya wangu, umepiga bulu, umejuaje, hizo sifa zote ulizomwaga zipo kwa Preta wangu, alipokuwa katika 20's alikuwa moto, full matata, nkichelewa kidogo tu madongo, lakini leo katika 30's nauona uzuri na umahiri wake kwa bedi, kwa jiko, kwa mfuko (Sipungukiwi si unakumbuka ile Pretamanga Inn), hata kinywa chake kinazidi kuwa kisafiki kadiri miaka inavyosonga mbele, wabarikiwe 30's ladies!!!

moto2012 wewe na Preta mmeshamalizana kumbe? big up sana
 
Last edited by a moderator:
usikimbie kwanza babu....
unajua hapa sijaweza sana kuchangia maana sijui sasa sisi ambao tupo above inakuwaje?

hahahahahaha FP kama upo above basi we soma tu au kama vipi tupe uzoefu wako ukiwa kwen hiyo miaka....
 
Last edited by a moderator:
20's Unaingia naye chumbani hamjakaa vizuri; mara anaparamia dude na kuanza kulibugia .... Mwanamke kuandaliwa sio yeye kukurupuka kuchezea dude la kidume.

Tutor B hii makitu imenichekesha sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom