Wanawake walikuwa zamani

wanawake wa zamani walikuwa wanatunza bikra zao...sasa hivi wanampa yeyete mwenye kuhitaji...
 
wanawake wazamani walikuwa wana aibu...sasa hivi iko tofauti...
 
Hata siku hizi bado kuna Wanawake wenye tabia za kizamani, tabia ambazo zinapendwa na wanaume wengi sana ila ni nadra sana kukutana nao.

CC: Fixed Point.


 
Last edited by a moderator:
wanawake wa zamani walikuwa wanajua nini maana ya mapenzi...sasa hivi wanaigiza...
 
Wanawake zamn hawakujua hata haki zao za msingi ni mfumo dume kwenda mbele sa hivi wanajielewa ndo maana wanaume mnanote difference
 
wanawake wa sasa wengi wao ni vilaza hawajui nini maana ya maisha...
 
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na wanaume wa kipind kile walivyojawa na mahaba kwa wake zao...mke kamkosea mume bas hampigi kwa magumi wala mateke! Anapigwa kwa pea moja ya kanga! Yaan ananunuliwa kanga ndo adhabu yake! Haya sasa..ckuiz mnapiga kipigo kias kwamba lazma majiran wajue maana ni kipigo cha kwenda nduki! Cwez kuchezea kichapo cha mwizi af nkakaa tu nkutizame
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa zamani walikua hawana smartfon hahaa
 
Wanawake wa siku hizi usijidanganye unaanza nae maisha ukitaka kuoa wewe hakikisha unakila kitu gari zuri pesa na nyumba yeye akija atumie tu! Ile kitu tuvumilie tujenge maisha wanawake wasasa hawana!

hapa umeteleza kidogo. Zamani mwanaume alikuwa haruhusiwi kuoa mpaka awe na shamba lenye cahkula na nyumba ya kumuweka huyo mkewe. Huna vitu hivyo hupewi mke. Siku hizi wanaume wanaolea kwao; wanaishi na wazazi na wadogo zao nyumba moja. Majanga!
 

Mabadiliko yetu ni madogo kuliko nyie
 
Sijui unatumia kinywaji gani usiku huu my dear..
Umemaliza
 
Hizi simu zinanikosesha mengi
Ila like like like
Umeongea ukweli
 
wa siku hizi hata uwahonge vipi bado watatamani nje, tamaa sana wanawake wa siku hizi, hawaridhiki.

walikua wanatoka nje kusagana na wanawake wenzao au???????????
 
wanaume wa zamani walikuwa wanahudumia kila kitu hata mkewe awe na kakazi hata hamsumbui wala kumuuliza mshahara wako umetumiaje..!! wa sikuhizi thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Wanawake walikuwa zamani bwana wasikuizi wakufuata klabuni huku watoto wakilia njaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…