Malizia kabisa awe na kipato kumzidi boss!
Patakuwa hapatoshi hakyanani. Nyie wanawake nyie.......:fish2:
Papaa,nilikuwa napita tuu jamani. Lakini hilo suala la 'uzembe' ndo lilinistua. Haya,mi naelekea zangu mbagalaaaa!sikukuu njema kama wewe ni mfanyibiashara eeh!Hahaaa! sikia kin'gasti mimi sisemi kuwa ni mazoea au ni wabishi ila style zingine wanawake wenye umri mkubwa hawaziwezi ndiomana hawataki hata ukiwa ambia, wanaweza kutapika ugali unafanya mchezo nini!
....... Hii kwangu ni vice versa.....wanaume wakubwa ndio wanafaa zaidiiiiiii.
hehehehehehe:A S tongue:wanawake wengi tunapenda kuwa na wanaume waliotuzidi umri......hii inakufanya ujisikie amani zaidi.....vitherengeti boys vinasumbua sana
mama,....... Hii kwangu ni vice versa.....wanaume wakubwa ndio wanafaa zaidiiiiiii.
mama,
vice versa is true for me😛ound:
wanawake wengi tunapenda kuwa na wanaume waliotuzidi umri......hii inakufanya ujisikie amani zaidi.....vitherengeti boys vinasumbua sana
We una umri gani dada? Na boifrendi wako ana miaka mingapi?
Gaijin mi nakukubali sana ila hapa no offence umechemsha yaani heshima yako kwa mtu inashuka just bcoz ulikuwa unamkatia shule do!!!!!!!!!!!!duh pata picha bossi unamuoa mwanamke mmesoma darasa moja ikisha yeye alikuwa ndio kila siku anakushushia shule darasani! heshima lazima ihame nyumbani kwenu!
U nailed bro. U can say that again and LOUDLY!!!!!!! TEH TEH TEHwanawake kama ninyi mnapenda sana kuomba vocha na kubeep kusikotakiwa...