Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

The Boss anaweza kuwa sahihi kwa upande mmoja lakini kwa upande wa pili akapoteza usahihi. Nasema hivi kwakuwa sifa nyingi alizozisema hapo juu kuwa wanazo wanawake wakubwa/wazee zinatokana na haya yafuatayo:-
1. Wamekata tamaa
2. Hawana cha kupoteza
3. Wameshapita kwingi kwahiyo wana uzoefu wenye ladha ya machungu
 
Hahaaa! sikia kin'gasti mimi sisemi kuwa ni mazoea au ni wabishi ila style zingine wanawake wenye umri mkubwa hawaziwezi ndiomana hawataki hata ukiwa ambia, wanaweza kutapika ugali unafanya mchezo nini!
Papaa,nilikuwa napita tuu jamani. Lakini hilo suala la 'uzembe' ndo lilinistua. Haya,mi naelekea zangu mbagalaaaa!sikukuu njema kama wewe ni mfanyibiashara eeh!
 
....... Hii kwangu ni vice versa.....wanaume wakubwa ndio wanafaa zaidiiiiiii.
 
wanawake wengi tunapenda kuwa na wanaume waliotuzidi umri......hii inakufanya ujisikie amani zaidi.....vitherengeti boys vinasumbua sana
 
ujue wametumika zaidi kuliko wewe kwa hiyo hata wewe kwao wanakuona kigoli
 
kumbe umri issue? vyovyote vile na iwe mradi kuwe na mapenzi ya dhati!
 
Maswala ya e motion feeling ni mgumu sana kuyatafutia generallity kwa sababu kila mtu ana reaction yake juu ya kitu kinachoitwa mahusiano. busara na hekkima katika mahusiano havitegemei pia umri ndo maana katika poit zako kuna wanaokuunga mkono na wengine wanakupinga kwa kutegemea experience yao na watu waliokutana nao na kuwashuhudia. Kwa maana hiyo basi si ajabu msichana wa 18 years akawa bora zaidi ya mwanamke wa 60 years. Na mara nyingi mwanamke/mwanaume anaweza kubehave namna hii kwa huyu then ikawa tofauti kwa perfect match wake.
 
wanawake wengi tunapenda kuwa na wanaume waliotuzidi umri......hii inakufanya ujisikie amani zaidi.....vitherengeti boys vinasumbua sana

Ahaa kumbe? Nadhani unafahamu fika kuwa nimekuzidi umri si ndio?
 
off topic, kwani mwanaume mkubwa aliyekomaa akili anatakiwa kuwa na miaka mingapi, for my experience wengine mpaka 35 akili zake kama mtoto wa miaka kumi, na wengine 25 akawa na busara za ajabu
 
duh pata picha bossi unamuoa mwanamke mmesoma darasa moja ikisha yeye alikuwa ndio kila siku anakushushia shule darasani! heshima lazima ihame nyumbani kwenu!
Gaijin mi nakukubali sana ila hapa no offence umechemsha yaani heshima yako kwa mtu inashuka just bcoz ulikuwa unamkatia shule do!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nakubaliana nawe 100% kwamba sio lazima akuzidi umri bali sio kasichana kadogo .

Mwanamke mkubwa kwa maana ya umri like 30 years nakuendelea ndio haswaa bomba kabisa kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom