Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

The boss dear, hiyo namba tisa mbona kama sio mi najuaga wanakuwa na wivu sana na wapenzi wao
 
kwa ujumla wanawake kuanzia 30 na kuendelea
wanakuwa watulivu.......
Tatizo watu siku hizi wanaiita used mara gobore......
But since mapenzi sio sex peke yake.the older the better...
Wewe kama una 50 basi nakushauri uanze na 30 na kuendelea..
Usijisumbue na wasichana wa 18-26 unless awe ameshazaa,kidogo
anakuwa mature......

Bosi hapo umepiga Ikulu, I am dating a 23 years old one, yaani ni pasua kichwa balaa......!!! You are right, 100%! Ngoja nitafuta ambaye ni 27 na kuendelea!
 
mi namwalimu wangu wa primary kanipiga age gap bt yupo fresh,muelewa ila anawivu cjaona,mcheshi ila anapenda kusoma magazeti ya udaku,anajua kupika,daah sita kwa sita anatikisa dunia mzima,jamani umri, umri umriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mi namwalimu wangu wa primary kanipiga age gap bt yupo fresh,muelewa ila anawivu cjaona,mcheshi ila anapenda kusoma magazeti ya udaku,anajua kupika,daah sita kwa sita anatikisa dunia mzima,jamani umri, umri umriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hapo kwenye bluu, is that a problem to you?
 
dogo huyu hapa, ile nimemwambia tu bado kidogo arukie screen akufate. Fanya uje, nisharekebisha mambo.
Hivi hus unakaa mpwapwa eeee unapanda daladala la kwenda wapi huko? wasalimie nduguz
 
Jaman huwez amini..mm kuna wana mama ana miaka 40 now nilikuwa na mahusiano nae tukaja kumwagana kwa 7bu zilizo nje ya uwezo wetu huwez amini mpk sasa nampiga sound daily turudiane kiukweli wanawake wakubwa wana vitu vingi sana ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
boss u might be right .................lakini wanawake wengi zaidi pia wanapenda kuwa na wanaume waliowazidi umri.

wanawake wengi wanatabia ya kupenda kuongozwa na hudhani kuwa unapokuwa na mwanamme wa umri mdogo kuliko wewe suala la kumuongoza linaweza kutokea. ( ndo maana wanaenda kwa wanaume waliowazidi umri)

nafikiri pia inakuwa rahisi kutoa respect kwa mwanamme alokuzidi umri kuliko ulomzidi. sijui ni wanawake wote au vipi lakini kuna tendency ya kuweza kupelekea majibizano iwapo mwanamme umemzidi umri.
Naungana na wewe.Sifa alizotaja zina reflect caring. Na wanawake pia wanapenda typer ya wanaume WA sampuli hiyo.
Pale kwenye pesa, wao watasema usiwe bahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga Mkono hoja mwenyekiti..kuna Jimama la Kigunya hapa nakula vyombo..
 
Back
Top Bottom