Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Jamani kuna topic mbili zinaendelea hapa
ya first lady na mwanakijiji kuhusu nini wanawake wanataka
na vice versa imenifanya nigundue kitu hivi ambacho
nimeona ni share na nyinyi......

Siku zote nimekuwa na a thing for older women......

I mean toka nilipokuwa mdogo nilikuwa na prefer
ku date wasichana walionizi umri...
Nilipokuwa primary nilikuwa napendelea walionizidi
madarasa..secondary hivyo hivyo....
Mimi o level na date high school...
High school na date college girls....
College nilikuwa na date mpaka walimu....

Kukiwa na msichana 21 na 28 nilikuwa na prefer 28,
28 na 38,na choose 38........

Kwa kiasi fulani nipo hivyo mpaka leo........

Anyway pointi hapa ni kuwa the older a woman become the wiser also she become....

Kwa hiyo kwa wale wenye matatizo ya kupata mpenzi anaefaa
huwa nawa advise wajaribu older women,
wajaribu waliokuzidi umri.the older the better......

Kuna faida kubwa sana mwanaume unapata unapo date older women...

1.watakufundisha vitu usivyovijua...
2.utajifunza ku respect mwanamke..
3.wanawake wakubwa hawana usumbufu sana..
4.utaelewa namna ya kubeba majukumu yako mapema
kama mwanaume
5.kwenye sex hawataogopa kukuambia au kukuonyesha
ujuzi mpya...
6.mostly wanakuwa for love na sio for money....
7.watulivu zaidi..
8.wasikivu na wana ushauri mzuri zaidi..
9.hawana wivu sana.wanaweza kukuruhusu uwe na mwingine
bila tabu.wawe wawili...
10.utajifunza tofauti ya sex na intimacy....na tofauti ya love na lust....
11.wepesi wa kusamehe....
12.wakipenda wanapenda kweli...
13.siku zote wanakuwa na time for you.
 
boss u might be right .................lakini wanawake wengi zaidi pia wanapenda kuwa na wanaume waliowazidi umri.

wanawake wengi wanatabia ya kupenda kuongozwa na hudhani kuwa unapokuwa na mwanamme wa umri mdogo kuliko wewe suala la kumuongoza linaweza kutokea. ( ndo maana wanaenda kwa wanaume waliowazidi umri)

nafikiri pia inakuwa rahisi kutoa respect kwa mwanamme alokuzidi umri kuliko ulomzidi. sijui ni wanawake wote au vipi lakini kuna tendency ya kuweza kupelekea majibizano iwapo mwanamme umemzidi umri.
 
The Boss ujaeleza umri mkubwa kwa kiasi gani mana mimi nikiwa na 50 sasa sijui mwanamke aliyenizidi niyupi!!ungefafanua umri kuanzia miaka fulani the w'll why and how!
 
I mean then we will tell you why an how(Type error)
 
Very true gaijin......
Lakini ukiwa mdogo kiumri pia unatakiwa kumuongoza
mwenzio....bottomline mwanume ukiwa yourself ,usipojishusha
utaweza kumuongoza......

Wanaokosea ni wale wanaotafuta wanawake ili walelewe......
Hapo lazima heshima ishuke
 
the boss ujaeleza umri mkubwa kwa kiasi gani mana mimi nikiwa na 50 sasa sijui mwanamke aliyenizidi niyupi!!ungefafanua umri kuanzia miaka fulani the w'll why and how!

kwa ujumla wanawake kuanzia 30 na kuendelea
wanakuwa watulivu.......
Tatizo watu siku hizi wanaiita used mara gobore......
But since mapenzi sio sex peke yake.the older the better...
Wewe kama una 50 basi nakushauri uanze na 30 na kuendelea..
Usijisumbue na wasichana wa 18-26 unless awe ameshazaa,kidogo
anakuwa mature......
 
Boss,

Haya mambo hayana kanuni. Kuna jamaa alinambia usemi huu "one man's food is another man's poison", na naukumbuka sana kwani ni vigumu watu hata 2 kukubaliana kwenye issue inayogusa hisia (feelings).

Binafsi sitaki hata kusikia mwanamke tunayelingana. Wanawake wanazeeka haraka na kama wewe unabaki mdogo inaweza kuwa tatizo. My ex GF tulikuwa umri unaolingana. Kwa wakati huo sikujali kwani nilikuwa nampenda sana. Nilikuja kuonana naye kama mika 7 baada ya kuachana, sikuamini kwamba anakaribia kuwa kama mama yangu. Sikuelewa ingekuwaje kama angekuwa mke wangu. Physical appearance ya mwanamke ni muhimu vinginevyo mtu unaweza kuanza kukimbia kimbia na vitoto mtaani. Kwa hiyo napenda ninayemzidi walau 5yrs ili twende pamoja. My wife wangu namzidi miaka 7 na nafurahia tunavyokua pamoja.

Maoni yangu hayo mkuu (DC).
 
Lakini kuna embulasment kwa mwanamke aliyekuzidi umri hasa maana mimi ninaka experience waokama wao ujisikia raha kuwa nmtu alomzidi umri ujihisi kama karudi kwenye usichana baada yakuona kijana anamdondokea!!Kifuatacho kukupeleka sehemu zenye starehe ili mburudike na pengine uona asije akakukwaza!!Na anachotaka yeye nikonekana katika public eyes anampenzi wake!!Sasa ndo unaingia naye Pale Breakpoint unasubiria foleni unataka utangulie au unajifanya umesahau kitu kwenye gari ili ukute kaishatafutakiti kaka yote hayo nikuwa huru kwenye macho ya jamii!!Sasa akigundu hilo ndugu mmeachana sasa mimi sioni kwanini nipate tabu hizo maana miminawaona vijana wale Serengeti boys wanavyokuwa hawana uhuru na macho ya watu!!Mimi niliwai kumtafuta mmoja lakini kilanilipo panga kwenda naye niliona kama nafwatwa na macho ya watu nilamua kwenda mzalendo pub kwenda kule nikkuta vijana rika langu na wapenzi wao nikaka lakini, i was'nt confortable!!Nikatoka maana hatakama walikuwa wanacheka nilihisi nimimi!!Mimi nitatafuta niliye mzidi miaka kamwe siyo aliyenizidi!!:focus:


 
Lakini kuna embarrassment kwa mwanamke aliyekuzidi umri hasa maana mimi ninaka experience waokama wao ujisikia raha kuwa nmtu alomzidi umri ujihisi kama karudi kwenye usichana baada yakuona kijana anamdondokea!!Kifuatacho kukupeleka sehemu zenye starehe ili mburudike na pengine uona asije akakukwaza!!Na anachotaka yeye nikonekana katika public eyes anampenzi wake!!Sasa ndo unaingia naye Pale Breakpoint unasubiria foleni unataka utangulie au unajifanya umesahau kitu kwenye gari ili ukute kaishatafutakiti kaka yote hayo nikuwa huru kwenye macho ya jamii!!Sasa akigundu hilo ndugu mmeachana sasa mimi sioni kwanini nipate tabu hizo maana miminawaona vijana wale Serengeti boys wanavyokuwa hawana uhuru na macho ya watu!!Mimi niliwai kumtafuta mmoja lakini kilanilipo panga kwenda naye niliona kama nafwatwa na macho ya watu nilamua kwenda mzalendo pub kwenda kule nikkuta vijana rika langu na wapenzi wao nikaka lakini, i was'nt confortable!!Nikatoka maana hatakama walikuwa wanacheka nilihisi nimimi!!Mimi nitatafuta niliye mzidi miaka kamwe siyo aliyenizidi!!:focus:
 
:lying:Kaka mi nakanusha kwan kwenye mchezo wengine wanakua wazembe kinoma, anataka afanye anavyojua yeye ukimweka unavyotakawewe yeye hataki huo ni usumbufu!
 
:lying:Kaka mi nakanusha kwan kwenye mchezo wengine wanakua wazembe kinoma, anataka afanye anavyojua yeye ukimweka unavyotakawewe yeye hataki huo ni usumbufu!
Hapo tatizo linakuwa kwenye tabia ya mtu binafsi.Mbona hata wanaume wapo ambao wame-kremu (wanataka wafanye waliyoyazoea wenyewe). Ooops,hivi hapa ni wapi?
 
Hahaaa! sikia kin'gasti mimi sisemi kuwa ni mazoea au ni wabishi ila style zingine wanawake wenye umri mkubwa hawaziwezi ndiomana hawataki hata ukiwa ambia, wanaweza kutapika ugali unafanya mchezo nini!
 
duh pata picha bossi unamuoa mwanamke mmesoma darasa moja ikisha yeye alikuwa ndio kila siku anakushushia shule darasani! heshima lazima ihame nyumbani kwenu!
 
Hahaaa! sikia kin'gasti mimi sisemi kuwa ni mazoea au ni wabishi ila style zingine wanawake wenye umri mkubwa hawaziwezi ndiomana hawataki hata ukiwa ambia, wanaweza kutapika ugali unafanya mchezo nini!

Mhnnnnn!!!Jamani vitu vingine vinatisha kama mwanamke ameenda age halafu unataka kukunja nakumkunjua yeye kwanza anaona aibu maana mikao mingine bwana inaitwa PAKA CHONGO Simchezo kwanza mwenyewe naona aibu lakini kama umemzidi unampinduapindua unavyotaka!!asikwambie mtu!
 
duh pata picha bossi unamuoa mwanamke mmesoma darasa moja ikisha yeye alikuwa ndio kila siku anakushushia shule darasani! heshima lazima ihame nyumbani kwenu!
Malizia kabisa awe na kipato kumzidi boss!

Patakuwa hapatoshi hakyanani. Nyie wanawake nyie.......:fish2:
 
The Boss ujaeleza umri mkubwa kwa kiasi gani mana mimi nikiwa na 50 sasa sijui mwanamke aliyenizidi niyupi!!ungefafanua umri kuanzia miaka fulani the w'll why and how!
Ukiwa na hamsini kamata mwenye 60. Kwa mujibu wa boss, hapo mambo shega.
 
Back
Top Bottom