Wanawake wakiwagomea wanaume itakuwaje???

Teh shekhe wa bibie bi muelewa na hanaga hayo makitu kuwa huru kijana...lete posa faster

haaah haaah InshAllah posa nitawaletea, tena nikiwa nimetinga ile kanzu yangu mpya.

Vp lakini posa yangu itakubaliwa??
 
Hupati kitu...hamia kwa Jane000 ikampe chalenge Ousofia coz kiwango chako cha NMB kanamfit Jane000

haaah haaah Jane tripo sufuri?! Lol huyo hata kwa bure simtaki lol.

Tumbembeleze Amyner anikubali bana nmb pia si poa tu, tunashindwaje bana lol.
 
Sawa...basi nawewe toa uzi wa sound kwa Amy km Ousofia

haah haaah mm nina strategy za ukweli bana, hiyo ya uzi ni mpaka nifikie step 3.sawa mkuu, uzi utakuwepo tu ila ww nibembelezee bana lol au nimtumie Kongosho?!
 
haah haaah mm nina strategy za ukweli bana, hiyo ya uzi ni mpaka nifikie step 3.sawa mkuu, uzi utakuwepo tu ila ww nibembelezee bana lol au nimtumie Kongosho?!
Ngoja ntakusaidia tukishindwa Kongosho na Bishanga watatusaidia....uje hapa nilipo uongee nae coz niko nae
 
khaaaaaa!
mmmmmhhhh!!.... Bishanga?! Bepari la kihaya lol! Huyo hapana mkuu. Huyu ni mtu hatari wa hawa Ke. Badala ya kunipigia pande atanipora huyu.

Nitamtumia hata Husninyo,SL. Kipipi,Lizy na my dada ADii,hata Afrodensi anaweza hii kazi.
Ila upande wa male uwe ww tu wengine siwaamini mkuu lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom