Wanawake wakiwagomea wanaume itakuwaje??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wakiwagomea wanaume itakuwaje???

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Erickb52, Mar 1, 2012.

 1. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hivi ikitokea wanawake wakaanzisha mgomo dunia nzima kuwa hawafanyi mapenzi na mtu yeyote hata mume kwa miezi kadhaa itakuwaje kwa wanaume??
  Kila unayemtongoza anakutosa...hali ingekuwa kwa wanaume walio wengi??
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kameruni si atakuwa amefaulu? Na kwa wale wenye jinsia mbili utawaweka fungu gani?
   
 3. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hali ingekuwaje kwako Erick?!
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kabla sijakujibu 52 Erick ! Nambie kwanza Je ? Tukianza kugoma sisi wanaume kuwapa MAKITU yetu ! Itakuaje ? Mnijibu wewe na Amyner !
   
 5. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Inategemea mgomo ni wa muda gani judgement! Kwanza nyie wanaume kugomea hio kitu HAMUWEZI HATA IWEJE! Uongo?!
   
 6. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Thubutu, Hawawezi hao.... Umesahau ule ugonjwa wao wa kuchekacheka wakikosa ile kitu?! Labda wasagane!
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh dah labda amyner anisaidie kwa hili coz nahisi watanuna hadi wavimbe
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mi nitajitafutia shughuli ya hatari yan ntakuwa busy mida mingi ili kupotezea hamu...
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  hahahahaaaa hii nilikuwa sijui eti...dah so nikimwona nanii anachekacheka bila kumchekesha nimkamate nkampe shughuli??
   
 10. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hawawezi kugoma hao,wanapenda sana ile kitu,unamaanisha hadi wale wa corner bar wanaweza goma kweli?c watakufa njaa mkuu
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh assume wamegoma utaweza kukomaa??
   
 12. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tafiti zime onyesha kuwa, wanaume waweza kaa muda mreeefu bila ya koDo. Lakini wanawake hawawezi kukaa hivyo sababu wana internal clock ambayo inawandaa kwa majamboz. Kwa wanyama inaitwa period ya HEAT.

  Wajaribu na waone nani atakae athirika mapema.
   
 13. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  huo mgomo ukitokea nadhani biashara ya sabuni itakuwa juu sana, yaani ni full p.u.n.y.e.to
   
 14. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sweetlady kakuona?
   
 15. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wakigoma hapo dettol itahusika mkuu
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  mmh shughuli ya hatari ndo ipi hiyo?
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwa ulimwengu upi sasa mwenzetu?? Huu huu ambao tunanyang'anyana na wanaume wenzao? Mbona itakula kwetu??
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh na biashara ya sabuni kwa ujumla itakuwa juu
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ntaanza kubeba mabox km Nyaningabu
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Doctorz huo utafiti wako ni wa kweli kwa waadamu au wanyama??
   
Loading...