Wanawake wakiwagomea wanaume itakuwaje???

Mh mie kwa utamaduni wetu sitakiwi kutia neno hapo.. Mpaka upitie kwa mababu waku evaluate, wazee wa kijiji, wajomba n.k.. lol.
 
Mh mie kwa utamaduni wetu sitakiwi kutia neno hapo.. Mpaka upitie kwa mababu waku evaluate, wazee wa kijiji, wajomba n.k.. lol.

swadakta kipenz najiandaa kuja kwa mababu zako na hao wajomba.
Ila nibebe zawadi gani sasa?!
 
swadakta kipenz najiandaa kuja kwa mababu zako na hao wajomba.
Ila nibebe zawadi gani sasa?!

Zawadi isikupe shida.. Chochote tu upendacho. Ila wazee watata wale, ukiwauliza niwaletee nini watakukomoa hao.
 
khaaaaaa!
mmmmmhhhh!!.... Bishanga?! Bepari la kihaya lol! Huyo hapana mkuu. Huyu ni mtu hatari wa hawa Ke. Badala ya kunipigia pande atanipora huyu.

Nitamtumia hata Husninyo,SL. Kipipi,Lizy na my dada ADii,hata Afrodensi anaweza hii kazi.
Ila upande wa male uwe ww tu wengine siwaamini mkuu lol

mmmh!
!!
!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom