Wanawake wakiwagomea wanaume itakuwaje???

Inategemea mgomo ni wa muda gani judgement! Kwanza nyie wanaume kugomea hio kitu HAMUWEZI HATA IWEJE! Uongo?!
Tunaweza ila sema hata tukigoma huwa mnatukalia vibaya mara paja nje...mara chuchu nje...dah hapo ndo mnatuzea
 
Vitu vingine mbona viko wazi ?
Majority ya wanawake wakikosa tu kusalimiwa na wanaume wanakwenda kwa Sangoma, miziziology kwa kwenda mbele.
Je? Ije itokee wanaume wamewawekea mgomo ? Hawa si watajiua ? Hapa wanajishaua tu ! Kama mziki wenyewe uanze mtawaonea huruma.
 
Hivi ikitokea wanawake wakaanzisha mgomo dunia nzima kuwa hawafanyi mapenzi na mtu yeyote hata mume kwa miezi kadhaa itakuwaje kwa wanaume??
Kila unayemtongoza anakutosa...hali ingekuwa kwa wanaume walio wengi??

habari yako ricky!
mm ntakuja kufanya conclusion...
maana topic nyingi zinaachwa hewani...
plz niite wakimaliza kumbwela mbwela...
 
habari yako ricky!
mm ntakuja kufanya conclusion...
maana topic nyingi zinaachwa hewani...
plz niite wakimaliza kumbwela mbwela...
Hahahaaaaa sawa ila kuja jamaa anajiita CONCLUDER sijui hata yuko wapi maana haonekani sana mitaa ya JF....Poa mi natafuta bagah nile maana nina njaa sana ukizingatia huku leo kuna kamvua....
 
Vitu vingine mbona viko wazi ?
Majority ya wanawake wakikosa tu kusalimiwa na wanaume wanakwenda kwa Sangoma, miziziology kwa kwenda mbele.
Je? Ije itokee wanaume wamewawekea mgomo ? Hawa si watajiua ? Hapa wanajishaua tu ! Kama mziki wenyewe uanze mtawaonea huruma.
Dah ila wanasemaga eti wanawake wanavumilia sana kuliko wanaume...ni kweli au ndo changa la macho?
 
ahaa kwahiyo nyie ni wadhaifu sana?
Hakuna binadamu ambaye si dhaifu anaotokea mazingira fulani ya kutatanisha....hata wewe nikikufanyia visa mbona lazma utalia....hisia kwa binadamu zipo sana ila kwa ninyi kututega ni rahisi sana
 
hawawezi kugoma hao,wanapenda sana ile kitu,unamaanisha hadi wale wa corner bar wanaweza goma kweli?c watakufa njaa mkuu

Hahaha, sana mkuu na wengine miradi yao itakufa maana kitega uchumi kikuu kimegoma kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom