Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Wanaume sex ni kama moja wapo ya basic needs kwa sababu za kibailojia. Sasa unamkuta mwanamke anamwambia mme wake eti "jamani si nimekupa tu juzi na leo tena unataka?"..... yaani akilini mwake anaamin kabisa kwa kuwa yeye alikata kiu juzi basi hata na mume wake nae ni hivyo hivyo......

Hilo ni moja ya tatizo linalonikumba nawaza better nikae peke yangu kulko kua na mwanamke ndani unamuhudumia na kumpa anachotaka kadri uwezavyo afu sex anakupa kwa kuhesabu so what????? Inakera jaman yaan ....na ukipewa hyo sku dk.20 au 15 utasikia nmechoka tulale seriously??? Yaan umenikarisha week zima afu uje unpe dk.20 unadhan ashki itaisha kweli????
Duuuuh!! Kazi ipo.
 
Ila kweli, manake wangu kabla ya ndoa nilikuwa napewa mikao yoote kuanzia BJ mpaka mkao wa ngedere mtini, nilivyomuweka ndani tu, kosa, ukimwambia unataka mkao flani anakwambia amechoka au hawezi, wakati nwingine asubuhi nikiomba good morning africa, mkono unarushwa kama niliyepigwa na shot ya umeme, nikaona isiwe bure, nikajitafutia mchepuko maisha yanaenda,
 
mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na taifa lisilo na chama cha upinzani....na...mwanamke mwenye mchepuko ni sawa na taifa kuwa na kikundi cha waasi kinachoendesha vita ya wenyewe kwa wenyewe.....( tuwapende wake zetu)
 
😂😂😂😂😂😂😂 watamaindi sana
 
Ila kweli, manake wangu kabla ya ndoa nilikuwa napewa mikao yoote kuanzia BJ mpaka mkao wa ngedere mtini, nilivyomuweka ndani tu, kosa, ukimwambia unataka mkao flani anakwambia amechoka au hawezi, wakati nwingine asubuhi nikiomba good morning africa, mkono unarushwa kama niliyepigwa na shot ya umeme, nikaona isiwe bure, nikajitafutia mchepuko maisha yanaenda,
Hahahah umetapeliwa tu kama mtoa mada😂😂😂 watt wa kike wahuni sana hawa ila nimecheka sana hapo kwa Good morning Africa na shoti ya umeme.

Vipi maisha yanakwendaje lakini huko Mabibo B!?
 
Back
Top Bottom