Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,564
- 88,576
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuuNawangoja wale wabishi waje kupinga kishabiki. Wanauzi kinoma hawa na wanatutesa wenye mapenzi ya kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuuNawangoja wale wabishi waje kupinga kishabiki. Wanauzi kinoma hawa na wanatutesa wenye mapenzi ya kweli.
Mpaka sasa, ni vile vile, napewa siku akijisikia, nishajizoelea kwa mchepuko wanguna bado hajabadilika?
Hivi mbona kwenye mambo mengine mnataka kuwa viongozi ila kwenye mapenzi ndo hamtaki? Yaani kwenye mapenzi tu ndo mnatakaga tuwe viongozi yaani sisi ndo tuanze kuonyesha mapenzi halafy nyie ndo mfuate kwanini na kwenye mapenzi msiwe viongozi? Kwanini msianze nyie kufanya hayo halafu muone kama wake zenu hawatafuata?Sasa kwani ww unaexpect penzi liwe chachu kwa vile mshavuka uchumba?
Hapo msijitetee kabisa yani maana ili penzi likolee utamu ni lazima mwanamke aoneshe mahaba ya hali ya juu kwa kidume na kuonesha kumuhitaji first. Then kidume atabehave the right way as long as unamvutia in a special way na anapata anachotaka bila complains. Kabla ya ndoa mahaba full wala hamu demand favors ili kuonesha mapenzi.
Thats how you trap us into marrying you ila mkishaolewa yale mliofanya ili kutuvutia tuwaoe yanakata ghafla. Hapo kibao tunageuziwa sisi kwamba hatuleti zawadi wala hatuwatoi out. Sasa utamtoa out mtu ambaye hakuvutii kumtoa out? Ana kiburi na hakupi amani kama awali analazimisha usawa na kuona kama kuku treat vizuri ni kukufanyia favors. Hio two way traffic inakujaga baada ya kuvishwa pete eeh,,acheni visingizio women.
Mbona mchepuko anafanyiwa mazuri kuliko mke tena wala halazimishi inakuwa automatic anapewaga. Ina maana mwanaume ni chizi? Hell no!!!
NB: Hamna mume anayechoka kumpenda mke mwenye hekima na mahaba. Ukiona mzee anasubiria mkewe atie sahihi maamuzi yake ujue ndio kama hivyo yani [emoji16][emoji16][emoji16]
Ona akili nyingine hizi basi msiwalaumu wake zenu wanapoonyesha ujeuri na viburiMichepuko ni muhimu aijalishi Hali yako ya ndoa ikoje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]komenti mwaya hata usimuogope huyo[emoji3][emoji3] umenifanya niahirishe nilichotaka kukomenti
Kuna mwanaume mwenzio huko juu kasema kuwa mwanaume kuwa na michepuko ni lazima haijalishi hali ya ndoa ikoje sasa hawa nao utasema wake zao ndo chanzo? Na wapo wanaume wengi wa aina hiiHata mie sielewi sijui tunakuwaga na bahati mbaya au ni vipi? Raha ya mwanamke akupe huduma bila kikomo yani jinsi utakavyo. Sasa hapo demu utakuta week nzima unapiga mara 2 ile kitozi tu ila bado analalamika.
Ukianza kutafuta fursa nje unaonekana mshenzi. Oh wanaume hata uwape nini watatoka nje..kasema nani!? Mijanamke mizembe na mivivu ndio chanzo most loyal men wanakuwa spoit na wanawake wazembe halafu lawama wanabebeshwa ME wote.
Inategemea huyo mume alikuwa anaishije na mkewe siyo kila mwanaume anastahili kufanyiwa hayoKwahio unataka ku justify nini? Hili swala la kazi mbona linatumika kama ishu sana wakati wengine baba zao walipoyumba kiuchumi mama zao walijitoa muhanga wakaendesha familia bila kuleta dharau kwa wazee wao na wapo humu.
Acheni ubinafsi aisee, kwa akili hizi mume akipata ulemavu hata uji atapikiwa kweli? Mi mwanamke wangu ntaishi nae the old fashioned way na tutakwenda vuzuri tu.
Kama mwanamke hawajibiki kwa lolote kwenye ndoa sidhani kama anastahili kuwepo ndani ya hio taasisi.
Kwenye comment yangu ya mwanzo kabisa kuchangia kwenye thread hii, bwana Extrovert alisema kuwa anachukizwa sana na suala la kupangiwa unyumba(sex) kutoka kwa mwanamke, na Mimi nikaja nikaongezea kuwa wanawake wanatakuwa waelewe sisi wanaume kwetu hitaji la sex lina uzito kulinganisha na wanavyolichukulia wao nikatoa na maelezo kabisa ambayo ndio hiyo biological factor.Nimesema mahakamani,wanaume wanaokua convicted of assault charges hawatoi excuse ya kitoto kuwa wana high testosterone...
nilikua nataka kuonyesha,role of testosterone in another context. UMESHINDWA KU GRASP SIMPLE TEXT KAMA HIO.
afu acha kujichanganya,unasema wanaume mnahitaji ngono zaidi ya wanawake,afu hapo hapo unasema huongelei kuchepuka....mnhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
hio ya wanaume kufikiri kwa kichwa cha chini ndio naiskia kwako,kwa hio na wanawake wanafikiria kwa kichwa kipi..?? makubwa haya....
umekubali mnaweza kucontrol sex urge zenu,hujui kuwa case imekua closed zamani..LOL
Amekosa hoja yenye mashiko
Asante sana nashukuru mlifika kama ilivyo ada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu
aiseeeMmeshasema wanafanya hayo ili waolewe sasa kama jamii inawalazimisha wanawake kuolewa mapema na kusema kuwa wakifika umri fulani hawafai kuolewa mnategemea wafanyeje ili waolewe mapema? Lazima waigize tu ili wapate wanachokitaka tu ndoa halafu baada ya hapo wanatulia
Sasa ndo wanaume muache hii mitazamo ya ajabu ya kusema kuwa mwanamke lazima aolewe akiwa na umri fulani kumbuka siyo wote kwenye umri huo wanakuwa tayari kuwa wake au mama ila wataolewa tu ili kuifurahisha jamii na wao waonekane wameolewa kwahiyo haya mnayataka wenyewe
ushaambiwa mke anafanyiwa yote yanayostahili ila anazingua kutoa tunda. Inshort ni mvivu wa kutoa huduma sasa unataka kidume afanyeje hapo?Hivi mbona kwenye mambo mengine mnataka kuwa viongozi ila kwenye mapenzi ndo hamtaki? Yaani kwenye mapenzi tu ndo mnatakaga tuwe viongozi yaani sisi ndo tuanze kuonyesha mapenzi halafy nyie ndo mfuate kwanini na kwenye mapenzi msiwe viongozi? Kwanini msianze nyie kufanya hayo halafu muone kama wake zenu hawatafuata?
Sasa mtazamo unahusiana vipi na mke kuwa committed? Kwamba ulazimishe ndoa halafu ikushinde uje kulaumu wanaosema mbona hamuolewi?Mmeshasema wanafanya hayo ili waolewe sasa kama jamii inawalazimisha wanawake kuolewa mapema na kusema kuwa wakifika umri fulani hawafai kuolewa mnategemea wafanyeje ili waolewe mapema? Lazima waigize tu ili wapate wanachokitaka tu ndoa halafu baada ya hapo wanatulia
Sasa ndo wanaume muache hii mitazamo ya ajabu ya kusema kuwa mwanamke lazima aolewe akiwa na umri fulani kumbuka siyo wote kwenye umri huo wanakuwa tayari kuwa wake au mama ila wataolewa tu ili kuifurahisha jamii na wao waonekane wameolewa kwahiyo haya mnayataka wenyewe
ukweli mtupu...yaani unaweza piga puye..to huku umeoa, unaona shida yote ya nn bora uchepuke tuHata mechi tu hadi sisi ndo tuoneshe uhitaji!??
Unalala na chupi umeolewa...na pyjamas juu!??
Nisipohitaji hata wiki nawe wapotezea...
Acheni msaidiwe tu..
biblia inasema mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe, haiwezekan tu mwezi hajisikii kutoa tunda halafu mtu asichepuke au afanye punye.to wakati kaoaWapo wanawake wanaopenda kuingia tu katika ndoa na kuitwa mke wa fulani. Furaha yao hutimia hapo tu.....
Wapo wanaopenda kuishi vyema na kufurahia ndoa, hao hujituma na kujitahidi kutenda kila jema kumridhisha mwenzake.
Kwenye comment yangu ya mwanzo kabisa kuchangia kwenye thread hii, bwana Extrovert alisema kuwa anachukizwa sana na suala la kupangiwa unyumba(sex) kutoka kwa mwanamke, na Mimi nikaja nikaongezea kuwa wanawake wanatakuwa waelewe sisi wanaume kwetu hitaji la sex lina uzito kulinganisha na wanavyolichukulia wao nikatoa na maelezo kabisa ambayo ndio hiyo biological factor.
Kimsingi mimi nimejaribu kuonesha tu utafauti wa mwanaume na mwanamke kwenye suala la ngono ukoje. Sasa wewe kutokana na uwezo wako duni wa kuelewa ukaanza kuhusisha nilichokiongea na violence.....hujakaa sawa mara unataja mahakama....
mara unaanza tena kuleta suala la kuchepuka.... sasa mimi kwenye comment yangu ya mwanzo ni wapi niliongelea kuchepuka? au hata kwenye comments zangu zilizofuata umeona nimesema kuwa testosterone hormones ni sababu ya wanaume kuchepuka!? kama ipo nionyeshe.
halafu una-pretend hiyo kauli ya "wanaume kufikiri kwa kutumia kichwa cha chini" hujawahi kuiskia na wakati hata humu inasemwa sana tu. Hata hivyo lengo langu ilikuwa nikutaka kukuelezea kwa namna tofauti kile kile nilichokisema mwanzo.
I have given too much of explanations but you are too slow on uptake, you just keep blabbing "elezea in other context"...how? Even if i had explained it in different wall of context you still wouldn't have been ready to get it as long as it doesn't fit your line of thinking regarding to this matter.
Wewe mwanamke una kichwa kigumu sana, na hata walimu wako shulenj kama walikufundisha ukaelewa, basi walistahili mara mbili ya mshaara waliokuwa wanalipwa kwa kazi nzito walioifanya.
Hahahahahamtandike vibao
Bravooo[emoji122][emoji122]Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread... [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]nyoosha na miguu basiAcha tu boss. Nina Mwanamke wangu nampenda na namuhudumia lakini ana kiburi cha kizaliwa wala hafanyi makusudi imebidi nimchunguze mama yake na ni vile vile.
Nimenyoosha mikono [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]