Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread... [emoji3][emoji3][emoji3]
vyote hivyo halafu unataka tujenge,tuwe na gari,shamba,maendeleo mengine utadhan nalipwa milioni tano kwa mwezi,
lazima tujibane tupate maendeleo,dina wakati unakula nyumbani,matumizi mabaya ya feddha.
 
Acha tu boss. Nina Mwanamke wangu nampenda na namuhudumia lakini ana kiburi cha kizaliwa wala hafanyi makusudi imebidi nimchunguze mama yake na ni vile vile.

Nimenyoosha mikono [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Na mamaee nae ni mzembe? umeguduaje mzee baba?
 
Ndiyo si wanawalazimisha wanawake kuolewa mapema wangekuwa hawawalazimishi basi wanawake wangekuwa wanaolewa muda wanaoona wako tayari kuingia kwenye ndoa na kutimiza majukumu yote kama mke na mama
Sasa mtazamo unahusiana vipi na mke kuwa committed? Kwamba ulazimishe ndoa halafu ikushinde uje kulaumu wanaosema mbona hamuolewi?
 
Ndiyo si wanawalazimisha wanawake kuolewa mapema wangekuwa hawawalazimishi basi wanawake wangekuwa wanaolewa muda wanaoona wako tayari kuingia kwenye ndoa na kutimiza majukumu yote kama mke na mama
Wasubiri kuolewa wakiwa na utayari
 
Kwenye comment yangu ya mwanzo kabisa kuchangia kwenye thread hii, bwana Extrovert alisema kuwa anachukizwa sana na suala la kupangiwa unyumba(sex) kutoka kwa mwanamke, na Mimi nikaja nikaongezea kuwa wanawake wanatakuwa waelewe sisi wanaume kwetu hitaji la sex lina uzito kulinganisha na wanavyolichukulia wao nikatoa na maelezo kabisa ambayo ndio hiyo biological factor.

Kimsingi mimi nimejaribu kuonesha tu utafauti wa mwanaume na mwanamke kwenye suala la ngono ukoje. Sasa wewe kutokana na uwezo wako duni wa kuelewa ukaanza kuhusisha nilichokiongea na violence.....hujakaa sawa mara unataja mahakama....

mara unaanza tena kuleta suala la kuchepuka.... sasa mimi kwenye comment yangu ya mwanzo ni wapi niliongelea kuchepuka? au hata kwenye comments zangu zilizofuata umeona nimesema kuwa testosterone hormones ni sababu ya wanaume kuchepuka!? kama ipo nionyeshe.

halafu una-pretend hiyo kauli ya "wanaume kufikiri kwa kutumia kichwa cha chini" hujawahi kuiskia na wakati hata humu inasemwa sana tu. Hata hivyo lengo langu ilikuwa nikutaka kukuelezea kwa namna tofauti kile kile nilichokisema mwanzo.

I have given too much of explanations but you are too slow on uptake, you just keep blabbing "elezea in other context"...how? Even if i had explained it in different wall of context you still wouldn't have been ready to get it as long as it doesn't fit your line of thinking regarding to this matter.

Wewe mwanamke una kichwa kigumu sana, na hata walimu wako shulenj kama walikufundisha ukaelewa, basi walistahili mara mbili ya mshaara waliokuwa wanalipwa kwa kazi nzito walioifanya.
Umeelezea vyema mkuu ila naomba nikuulize swali mfano ndo umeoa sasa halafu mke hakupi unyumba kila siku kulingana na mahitaji yako kuna siku anakwambia hajisikii au amechoka wewe utafanyaje?
 
Sku moja moja sio mbaya ila sio ndo anaweka ratiba kwamba paka zipite siku kadhas hyo inaboa

Afadhali wewe angalau unaelewa kuwa wanawake hatuwezi kufanya kila siku kama wanaume na hizo siku ambazo hatujisikii kufanya ni muda ambao hata nyie mnaweza kuhimili kutokufanya ila basi tu kujiendekeza wanaume wengine hapa ndipo wanapotafutia sababu za kuchepuka

Maana kuna wanaume wanataka kufanya kila siku wakati wanaweza kabisa kuvumilia ukiuliza ikipita siku moja bila kufanya anapata madhara gani? Hakuna madhara anayopata ila basi tu anataka kuona kila mbegu yake inaingia kwa mwanamke
 
Sawa.ila zisiwe siku nyingi saana angalau zikizidi mnoo labda 3 maana zikizidi hapo mmmh hali inakua mbaya sana..na isiwe kila mara sasa ndo masiku yote hayo maana wanaume tuko active mnoo
 
Sawa.ila zisiwe siku nyingi saana angalau zikizidi mnoo labda 3 maana zikizidi hapo mmmh hali inakua mbaya sana..na isiwe kila mara sasa ndo masiku yote hayo maana wanaume tuko active mnoo
Ndiyo ni kweli na zikizidi hapo labda ana sababu tu nyingine
 
Ninyi mbona mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii? Msingekuwa mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii basi msingekuwa mnaona ni dili kuwa na mademu wengi leo hii mwanaume akisimama mbele za watu akisema ana demu mmoja basi mnamcheka na kwa sababu hampendi kuchekwa mnaamua kuwa na mademu wengi ili muheshimike kwenye jamii
kwa hiyo kumbe mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii,
 
Wakati wa uchumba wanawake wanakuwa viumbe wengine, wazuri na wenye mapenzi, wakati mwingine mwanaume hufanyiwa vitu mpaka unatangaza ndoa bila kujua. Kipindi hiki mapenzi yanakuwa moto moto, kila ukihitaji unapewa, kazi zote unafanyiwa, kumbe ni kampeni ya kuisaka ndoa.

Mara tu mnapoolewa wanawake mnajisahau sana, dharau, viburi, ujuaji, mapenzi zero mbaya zaidi hata kile chakula chetu pendwa unapewa kwa kupangiwa, kila siku mnuno, mvivu, na kutokujali.

Wakati mwingine unaoa ili upate pumziko la mwili na akili pindi ukichoka lakini unajikuta umeingia kwenye moto ambao huzimiki, hivi kweli kwa hali kwanini mwanaume nisitafute mchepuko wa kupata pumziko, bahati nzuri pia michepuko inajua kucare na haina kelele nyingi.

Hebu wanawake jaribuni kutufanyia yale mliyokuwa mnatufanyia enzi za uchumba muone kama tutachepuka, hata tukijaribu nafasi itatusuta.
Uzi huu konki sana,sema watapita na kubinua midomo tu,mabadiliko ni zero
 
NEXT TIME KUWA OBJECTIVE!!!!

Mambo ya kumshambulia mtu kutokana na post yake ni ya kishamba...yaani nimeangalia messages zako kwenye hii topic ni unatumia derogatory language....you are not yet matured to argue..present hoja zako watu wakuelewe...

Moja, wala sipretend,sijasikia huu msemo wanaume wanafikiri kwa kichwa cha chini..ni upuuzi kwanza...sex inakuwa controlled na ubongo….na ubongo unaweza kuswitch 'on' and 'off'...sasa hio kwa kichwa chini inatoka wapi?.nimekuuliza wanawake wanafikiria kwa kichwa gani? hujanijibu……............….

Second,Naona umeamua kwa makusudi kujifanya hujaelewa kwa nini nimelink hii topic na violence pamoja na mahakama...for the final time take your time to digest,ni hivi nimetaja hivi vitu viwili sababu vinainvolve TESTOSTERONE....kwako unatoa 'accountability' kwa wanaume kuwa sex ni kitu ambacho kwa wanaume sio kosa lao ndivyo walivyozaliwa…..nikasema kama ni hivyo mahakamani napo wangekua wanaachia WANAUME kwenye makosa ya Assaults...sababu Testosterone wamezaliwa nayo...

Mwisho,hii topic kichwa cha habari ni michepuko,unasema huongelei michepuko,sikuelewi kwa nini Unaleta habari za biological factor humu kwenye hii topic ya michepuko ??? kama hukutaka kujustfy kuchepuka kwenu…..

Bado nazidi kusema wewe una kichwa kigumu sana, na hata hii reply yako ni ushaidi mwingine kuwa una matatizo ya COMPREHENSION.. your brain is too rigid to digest my write ups clearly, you may take it as offensive remark but that's glaring truth I have seen since I started trading words with you in this topic. If there is anyone between us who is not yet matured, obvious it's you maana hata uelewa wako ni duni sana.

Na pia hata sijakushambulia bali nikujishtukia kwako tu, kwani mimi hoja zangu zote zimejikita kwenye kile nilichokisema tangu awali. Sasa kama kusema kuwa wewe una kichwa kigumu kitu ambacho ni kweli ni kukushambulia, basi hilo ni tatizo lingine ulilo nalo.

Huo msemo wa "wanaume kuna muda wanafikiri kwa kutumia kichwa cha chini" ni kauli ambayo imekuwa ikitumiwa na watu hasa wanawake kama fumbo wakimaanisha kuwa wanaume wanapokuwa kwenye mazingira yenye utayari wa kufanya ngono wanapoteza ile self-control tofauti na wanawake ambao kwao sex haiwapeleki kiasi hicho. Nafikiri mpaka hapa hata hill swali lako la wanawake wanafikiri kwa kutumia nini utakuwa umepata jibu kwanini sikulijibu.

Dada unaandika maneno mengi halafu unaishia kudhiirisha uwezo wako mdogo wa kusoma na kuelewa na huonekani kuelewa kitu.

Kwenye hiyo paragraph yako ya pili kutoka mwisho, hebu naomba unioneshe mahali ambapo nimesema kuwa "wanaume sex sio kosa lao ndivyo walivyozaliwa" au nioneshe sehemu yoyote niliposema kuwa sex ni totally uncontrollable kwa mwanaume.

Hii topic inahusu kuchepuka ndio, lakini reply niliyojibu ambayo ndio imetufikisha huku kwenye haya malumbano haikuongelea kuchepuka nenda kaisome tena... 7th evidence of zero understanding capacity from you. Usiwe unasoma vitu huku akili yako ikiwa twisted tayar.
 
Mnhh eti najishtukia tu....

embu angalia posts zako..mwenyewe uji assess lugha unayotumia ...pitia post baada ya moja...sina muda wa ku list sentensi zote ulizoenda nje ya mstari...kwa mtu anayejitabanisha ana uwezo mkubwa ku Comprehend vitu...akiambiwa kwamba awe objective mwenyewe atajua amekosea wapi..proof HUNA UWEZO HUO........

' Mazingira yenye utayari wa kufanya ngono' ambayo Mwanaume hana self control ni yapi hayo....???eti na mwanamke ndio anayo self control,hahaa bongo zetu ziko different kwani…???

Topic ni michepuko,ukaleta testosterone kujustfy kuchepuka,nikaleta ishu ya testerone kwenye mambo mengine,sijui unapinga tuu sababu unajiskia kufanya hivyo...AMA NI UKWELI UMESHINDWA KU 'COMPREHEND' simple text kama ile..

halafu unaji contradict mwenyewe;unaongelea Testosterone,unaongelea mwanaume ku lack self control afu hapo hapo unakataa hujasema kwamba kwa wanaume sex sio kosa lao...ni kitu wamezaliwa nacho...naamini kuna vitu vingine unaandika hata wewe MR Comprehesion huvijui...

Nitaendelea kukujibu hivi hivi,even if you think i'm stupidiest,i don't care ...hizi mind games zitaendelea....
 
Back
Top Bottom