Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,412
- 191,569
Kiseme tu[emoji3][emoji3] umenifanya niahirishe nilichotaka kukomenti
Kiseme tu[emoji3][emoji3] umenifanya niahirishe nilichotaka kukomenti
Ubaya ukishampata zitaanza lawama kwamba umebadilika. Humjali tena kama zamaniMkuu nimechoka sahivi afu istoshe mtu unamuhudumia kadri ya uwezo wako
Itabdi nitafute wa kufanana nae
Hapana mpenzi, usije ukaahirisha kunioa bure...huu ndio muda wa kukuimpress nisijekosa kuvaa gauni jeupe[emoji3][emoji3][emoji3]Kiseme tu
Hahah kazana aisee maana mchezo wa quaito na jesus luv mi tumachooo unaeza ishia kuuona "Trace Mziiki" tu badala ya kwenye shela ukiwa na maids wako.Hapana mpenzi, usije ukaahirisha kunioa bure...huu ndio muda wa kukuimpress nisijekosa kuvaa gauni jeupe[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahah visingizio vikizidi unatafuta pa ku exhale tu...maana pete ushamvisha kwa mbwembwe sana ila at last anakufua tu mpaka kifo kiwatenganishe!Wanachoshindwa kusema ni kwamba...
Mume wangu mi saiv nimekuchoka...tafuta wa kunisaidia..
😂😂😂😂
Katika hii taasisi ndugu zangu waislamu huwa nawaelewa sana.
Kwahio unataka ku justify nini? Hili swala la kazi mbona linatumika kama ishu sana wakati wengine baba zao walipoyumba kiuchumi mama zao walijitoa muhanga wakaendesha familia bila kuleta dharau kwa wazee wao na wapo humu.
Acheni ubinafsi aisee, kwa akili hizi mume akipata ulemavu hata uji atapikiwa kweli? Mi mwanamke wangu ntaishi nae the old fashioned way na tutakwenda vuzuri tu.
Kama mwanamke hawajibiki kwa lolote kwenye ndoa sidhani kama anastahili kuwepo ndani ya hio taasisi.
Labda kama mmechokana ila kama upendo bafo upo basi ndoa ni tamu kila siku hakuna haja ya mchepukoWakati wa uchumba wanawake wanakuwa viumbe wengine, wazuri na wenye mapenzi, wakati mwingine mwanaume hufanyiwa vitu mpaka unatangaza ndoa bila kujua. Kipindi hiki mapenzi yanakuwa moto moto, kila ukihitaji unapewa, kazi zote unafanyiwa, kumbe ni kampeni ya kuisaka ndoa.
Mara tu mnapoolewa wanawake mnajisahau sana, dharau, viburi, ujuaji, mapenzi zero mbaya zaidi hata kile chakula chetu pendwa unapewa kwa kupangiwa, kila siku mnuno, mvivu, na kutokujali.
Wakati mwingine unaoa ili upate pumziko la mwili na akili pindi ukichoka lakini unajikuta umeingia kwenye moto ambao huzimiki, hivi kweli kwa hali kwanini mwanaume nisitafute mchepuko wa kupata pumziko, bahati nzuri pia michepuko inajua kucare na haina kelele nyingi.
Hebu wanawake jaribuni kutufanyia yale mliyokuwa mnatufanyia enzi za uchumba muone kama tutachepuka, hata tukijaribu nafasi itatusuta.
You said it allWanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread... [emoji3][emoji3][emoji3]
hii comment yako naifananisha na lile jibu la "ukiona mwanamke ana kiburi basi chanzo ni mwanaume"Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread... [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahio unataka ku justify nini? Hili swala la kazi mbona linatumika kama ishu sana wakati wengine baba zao walipoyumba kiuchumi mama zao walijitoa muhanga wakaendesha familia bila kuleta dharau kwa wazee wao na wapo humu.
Acheni ubinafsi aisee, kwa akili hizi mume akipata ulemavu hata uji atapikiwa kweli? Mi mwanamke wangu ntaishi nae the old fashioned way na tutakwenda vuzuri tu.
Kama mwanamke hawajibiki kwa lolote kwenye ndoa sidhani kama anastahili kuwepo ndani ya hio taasisi.
Hata mie sielewi sijui tunakuwaga na bahati mbaya au ni vipi? Raha ya mwanamke akupe huduma bila kikomo yani jinsi utakavyo. Sasa hapo demu utakuta week nzima unapiga mara 2 ile kitozi tu ila bado analalamika.
Ukianza kutafuta fursa nje unaonekana mshenzi. Oh wanaume hata uwape nini watatoka nje..kasema nani!? Mijanamke mizembe na mivivu ndio chanzo most loyal men wanakuwa spoit na wanawake wazembe halafu lawama wanabebeshwa ME wote.
Aiseee...!!Tatizo wanaume hawakubali kushindwa so kwenye arguments kama hizi unakubaliana nae kua sawa umeshinda .