Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread... [emoji3][emoji3][emoji3]
Sijawahi kupost wala ku comment jf, ila haya maneno yako dada umenibariki
 
Wanaume sex ni kama moja wapo ya basic needs kwa sababu za kibailojia. Sasa unamkuta mwanamke anamwambia mme wake eti "jamani si nimekupa tu juzi na leo tena unataka?"..... yaani akilini mwake anaamin kabisa kwa kuwa yeye alikata kiu juzi basi hata na mume wake nae ni hivyo hivyo......

Hilo ni moja ya tatizo linalonikumba nawaza better nikae peke yangu kulko kua na mwanamke ndani unamuhudumia na kumpa anachotaka kadri uwezavyo afu sex anakupa kwa kuhesabu so what????? Inakera jaman yaan ....na ukipewa hyo sku dk.20 au 15 utasikia nmechoka tulale seriously??? Yaan umenikarisha week zima afu uje unpe dk.20 unadhan ashki itaisha kweli????
 
unajua suala hapa hata elimu pia ni tatizo, wanawake wengi hawana sex education, wanachukulia uhitaji wa sex walio nao ni kama sisi.

Endapo kama wangekuwa na elimu hiyo wangefahamu kabisa hawafanani hata kidogo na sisi kwenye hitaji la ngono.

yapasa wafahamu kuwa our testosterone(sex driving factor) level is normally 20 times higher than that of women and it's what makes us nymphomaniac(sex always in demand and less controllable) tofauti na wanawake ambao sex kwao ni more controllable and not always in demand.

Wanaume sex ni kama moja wapo ya basic needs kwa sababu za kibailojia. Sasa unamkuta mwanamke anamwambia mme wake eti "jamani si nimekupa tu juzi na leo tena unataka?"..... yaani akilini mwake anaamin kabisa kwa kuwa yeye alikata kiu juzi basi hata na mume wake nae ni hivyo hivyo.

Unakuta muda mwingine ametoka kuoga ana badirisha chupi mbele yako halafu ukimgusa tu utaskia "sitaki fujo" na wakati yeye mwenyewe ndio kakuamshia hisia..hahaha
Aisee inabidi wapewe elimu hawa, ntatafta desa nimpe darsa bi mkali ili ajue nini ni nini na kwanini
 
Mnabisha bure tu hata Bible inawakumbusha kukaa na wake zenu na kuwafurahisha Extrovert soma hiyoooooo

Kumbukumbu la Torati 24:5

Mtu atwaapo mke mpya, asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yo yote; akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake, apate mfurahisha mkewe aliyemtwaa.

Sasa nyie wanaume wa JF mmekaa hapa mnadanganyana. Shauri yenu, wake zenu ndo hao tunaona maofisini watu wanasema "yule maza anatoka na ki Ben10 huwa anaenda nacho safari za kikazi"
Hio bible imeongea kitu kizuri sana japo application yake ukiifanya kikamilifu matokeo yake ni njaa au kero tu za kuambiwa nimekupa sana. Maamuzi yamekuwa ni mapumziko ya week kadhaa mkiwa uchi then shughuli nyingine zinafuata.

Hiyo ya mke kuwa na kibenten huku ana mume ni umalaya tu.
 
Ndio ukome lol

Angalia pattern kule love connect,mnataka kuoa mwanamke msomi aliye na kazi...

sasa unadhania inakuja at what cost?...

yeye sio robot,hapa watoto,hapa mume,hapa kazi....kuna kutakapopwaya tu,,,

wachache wanaweza kubalance...

hafu mtukome kila siku mnasema wanawake tunataka ndoa tu..lol

ukweli ni kuwa ukikutana na mtu unataka kuwa na uhusiano naye..wote mna consider 'trade offs'...

wote mwanaume na wanawake kuna vitu 'vimetiki' kwenye list yako before proceeding with marriage...

sasa kama mnalia lia kama 'mmetapeliwa' vileee..hahaaa..hilo lenu,mlibebe
Checklist huwa inakaa vizuri kabla ya kutangaza nia pale. Unaona hii bidhaa itanifaa ila tabu huja ukisha purchase mzigo, perfomance inaporomoka chap na ile huduma muhimu iliokufanya ununue bidhaa inakuwa inasuasua.

Huo ni utapeli kama utapeli mwingine tu 😂😂😂. Ni sawa uingie mkataba wa kudumu na Tanesco kuwa itakusambazia umeme wa megawatt 1000 wa uhakika bila kukatika ovyo kwa ajili ya kiwanda chako ili kisisimamishe shughuli za uzalishaji na kwenye vetting uliofanya ukakipitisha na kusainisha halafu baada ya mda kidogo kukaanza matatizo ya underpower au powercuts za kijinga kwa visingizio visivyoeleweka mara transformer zimepata hitilafu mara kina cha maji kimepungua.

Ndio wanawake wanavyotufanyia sasa, vigezo sio tatizo. Ndoa ni mke anavyokupa tendo vizuri. Akikukoleza hapo tu unaona freshi huyu ananifaa pamoja na vigezo vinginevyo inakua kama ziada. Ndoa ni tendo la ndoa ndio la msingi linalowaunganisheni. Msitafute visingizio kabisaa mara sijui kazi, mara watoto.

Wanawake wa shoka walienda kulima (very tiring task) wakarudi kupikia watoto na kuhudumia waume zao vyema tu bila kulalama. Ila nyie wa kushinda kwenye laptop/pc kwenye AC ventilated rooms na kuletewa wasaidizi wa kazi nyumbani ndio sababu haziwaishi, mngekua mnalima kama bibi zenu sijui hata hali ingekuwaje!
 
Umewahi kuona kampeni baada ya uchaguzi?!!!!

Hili swali huwa mnapenda sana kuliuliza tukiwahoji kuhusu nyie kubadilika baada ya ndoa, sasa twendeni hivi hivi hadi kieleweke.
Haitafaa, hatuwezi fika salama kwa kweli! Kwahio huwa mnatutapeli ili tuwaoe tu kisha muanze fujo?
 
Unyumba umeufanya kuwa ni silaha katika maisha ya ndoa. Kama kuna vitu vya lazima na muhimu huvitimizi kama mwanaume unadhani mkeo atakupa unyumba. Nendeni kwa michepuko mkatimize haja zenu. Maana hata mkipewa kama dose ya panadal bado mtatoka nje. Wengine mmepata sababu tu.
Endelea na hizo akili mkuu, zitakufikisha mahala fulani. Na kingine sidhani kama kuna haja ya kupasuana kichwa na mtu. We unavyotaka ufanyiwe kama huvioni usimlaghai mtu akuoe kisha umfukuzie kwa mchepuko. Kuwa wazi muachane tu kiroho safi, wapo watakaoona thamani yake jinsi alivyo. We subiri wa kukufanyia vitu ili umpe uchi wako wa dhahabu
 
Aisee inabidi wapewe elimu hawa, ntatafta desa nimpe darsa bi mkali ili ajue nini ni nini na kwanini
..

na wewe umekubali hio excuse???

Testosterone iko linked na violence..

je unaenda kuattack kila mtu kisa una high testosterone???

Mbona mahakamani 'hamsamehewi' kwa violence kama mna high testosterone,,

au ina apply kwenye tendo la ndoa tuu??
 
Dada wewe ni mwanamke hujui kitu, ndio wale niliowasema mna zero education angalia hata jinsi ulivyo-comment hapa.

Mimi naongelea influence ya testosterone kwa mtu ambaye tayari una uhalali nae wa kufanya sex, halafu wewe unaihusisha na violence tena? nani kasema kuwa sex ni totally uncontrollable kwa mwanaume?

Tatizo mnaangalia kila kitu kwa perspective za kike, kwamba kama mimi ninaweza hivi kwanini na yeye asiweze hivi...shubamt!!!

Halafu hata hizo rape charges ni njia moja wapo zilizoletwa kuwafanya wanaume wawezo kucontroll sex urge zao, ukienda kule kwenye misitu ya Amazon kuna watu jamii ya Wamekuahn hawana kabisa hizi mambo za kesi za ubakaji sababu ngono kwao ni hitaji muhimu kwa mwanaume na anaipata kwa mwanamke yoyote na wanawake wanalijua hilo.

hujui kitu dada.
 
nani kaongelea rape charges...???

Sex in controllable,so yes mnaweza ku stick na one woman,

influence ya testosterone ni nonsense kama hamuwezi kuexplain influence of testosterone in another context..period!
 
sasa ulivyosema "violence" halafu ukaitaja na "mahakama" kwenye reply yako ya awali ulikuwa unamaanisha nini hasa kwa ujumla kama sio kuileta maana nzima kwenye mintarafu ya ubakaji(rape charges)?

just another evidence of zero education.

Na pia mimi sijaihusisha testosterone factor na uchepukaji bali nimeiongelea zaidi kama sababu ya sisi kuhitaji ngono mara kwa mara kuliko nyie wanawake, ila naona umeamua ku-twist maana nzima ya nilichokiandika. ZERO COMPREHENSION FROM YOU.

labda nikuulize swali ni kwanini mnasemaga "wanaume wanafikiri kwa kutumia kichwa cha chini"?

Huo mfano ni irrelevant mkuu, usifananishe sheria na hisia hata siku moja[emoji23]
Dada ana ruka ruka tu, wala hata hajapata mantiki ya comment yangu badala yake kaja na mihemko yake ya kike mpaka anaandika vitu vya ajabu visivyohusiana na mada.
 
Dada ana ruka ruka tu, wala hata hajapata mantiki ya comment yangu badala yake kaja na mihemko yake ya kike mpaka anaandika vitu vya ajabu visivyohusiana na mada.
Amekosa hoja yenye mashiko
 
Kwani huwa mnatutapel ili mtuoe tu kisha muanze fujo?
Utapeli huo si mnaufanya ninyi, unapresent tabia za mke kwanza. Ukishaingia mjengoni unaanza tabia za kishwaini za kupimiana mzigo
 
sasa ulivyosema "violence" halafu ukaitaja na "mahakama" kwenye reply yako ya awali ulikuwa unamaanisha nini hasa kwa ujumla kama sio kuileta maana nzima kwenye mintarafu ya ubakaji(rape charges)?

just another evidence of zero education.

Na pia mimi sijaihusisha testosterone factor na uchepukaji bali nimeiongelea zaidi kama sababu ya sisi kuhitaji ngono mara kwa mara kuliko nyie wanawake, ila naona umeamua ku-twist maana nzima ya nilichokiandika. ZERO COMPREHENSION FROM YOU.

labda nikuulize swali ni kwanini mnasemaga "wanaume wanafikiri kwa kutumia kichwa cha chini"?

Nimesema mahakamani,wanaume wanaokua convicted of assault charges hawatoi excuse ya kitoto kuwa wana high testosterone...

nilikua nataka kuonyesha,role of testosterone in another context. UMESHINDWA KU GRASP SIMPLE TEXT KAMA HIO.

afu acha kujichanganya,unasema wanaume mnahitaji ngono zaidi ya wanawake,afu hapo hapo unasema huongelei kuchepuka....mnhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

hio ya wanaume kufikiri kwa kichwa cha chini ndio naiskia kwako,kwa hio na wanawake wanafikiria kwa kichwa kipi..?? makubwa haya....

umekubali mnaweza kucontrol sex urge zenu,hujui kuwa case imekua closed zamani..LOL
 
Back
Top Bottom