Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.

Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.

Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.

Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.

Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.

Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.
Hii post umeiandika ukiwa Rock City Mall na ka bia mkononi
 
Mimi nimefika huko sio Mwanza tu, hadi Simiyu vijijini Wigelekelo hadi Bushashi ukoo! And believe me wasukuma ni kati ya watu ninaowakubali kwa sababu nimeishi nao sana. Nimewasikiliza sana kina Bhudagala Mwanamalonja, Bhulemela Thomas, Juma Kairo, Kado Chiza, Nyakabaya, Nyanda Lunduma, n.k kwaio ni watu ambao ninawaheshimu siwaoni kama washamba au inferior!

Lakini lazima nikiri kwamba linapokuja suala la utafutaji wageni tuna struggle sana kuaminiwa na wenyeji yaani wasukuma. Wasukuma ni ngumu sana kumuamini mgeni na kumpa kazi (tender), hivyo hivyo kwenye biashara sijui wanaona kama unataka uwaibie hivi sijawai kuwaelewa hapo.

Makazini nako hivo hivo mfano hospitali unakuta nurse ambae ni msukuma anaaminika zaidi kwenye issue za magonjwa na matibabu kuliko daktari ambae si msukuma. Au unakuta tabibu ngazi ya chini mfano CA, C O au AMO ambae ni msukuma anaaminika kuliko superiors wake kama MD, Specialist, na Super specialist.
Ndiyo ukabila huo
 
Nimeishi Usukumani sana na ndio nilipo hadi sahv ninakofanyia kazi Nakiri kabisa WASUKUMA hawana ukabila shida usipowaelewa ile tabia yao ya kupenda kuzungumza sana kilugha unaweza jua ndio ukabila wenyewe ila hawana ukabila kabisa!!!

Jamaa ukiishi nao vizuri utaenjoy tu pamoja na wenzao wakurya maana ndio nimesoma huko Advance hawa jamaa hawana shida kabisa
Wabaya hawataki wenyeji wapo Kama watu wafuatao .
Wanzanzibar hawataki watu wabara , na waajiriwe au waaishi huko .

Wanachuki na wakristo ila sisi hhatun chuki nao .

Wakurya na wamusoma haswa hata sumu watakuwekea ,vitimbi watakufanyia vioja vingi vingi tu ili ondoke wabaya sana .

Watu watanga hawapendi uajiriwe makwao naushaidi kabisa watu Hawa ni wabaya sana
 
Mwanza huwa napaona pa hovyoo sijui kwanini?[emoji848]...halafu mtu hata angefanya nini akiwa mwanza huwa namuona mshamba.....mwaka 2022 nimepata sana pesa lakini sikuwahi kutamani kwenda kufanya starehe yoyote mwanza kwa sababu huwa napadharau saaana tena sana
Kwahiyo ni wapi unapaona pakijanja ht mtu akifafanya jambo unamuelewa

Aiseee
 
Mwanza tupa kule,karibuni Singida a.k.a Singapore
Upo serious kweli wewe? Au umeamua kuchekesha walio nuna?
Singida kuna nini zaidi? Au umataka watu waje kushuhudia Magari ya abiria na malori yanayopita hapo kuelekea destinations nyingine?
 
Ukishindwa kuishi na msukuma wewe ni mpumbavu,hakuna kabila lenye upendo kama hao watu,hawana makuu ,hawana ubaguzi na wala si watu wa kujikweza .

Mwanza ni sehemu nzuri kabisa ya kuishi ,bado kuna maeneo mazuri ya kujenga kwa makazi na biashara pia .
Mwanza kuna fursa nyingi za kibiashara ,mambo mengi mazuri utayapata mwanza.

Ni upuuzi kusema mkoa x siwezi ishi mimi,eti una hiki na hiki,si ungezaliwa porini uishi na wanyama kama hutaki watu,sehemu yoyote mtu waweza ishi ila inategemea na vipaumbele vyako,sehemu isiyo salama kuishi ni mikumi tu ndani ya hifadhi mana kuna wanyama wakari.
Umemalizaaa wasukuma hawana shida kabisaaa kabisaa tena wanawake wao wana adabu sana!ninamwaka wa 10 mwanza hii nikitokea uko Dsm lkn sijutiii kuwa hapaaa

Kanda ya ziwa imebarikiwaa
 
Ukishindwa kuishi na msukuma wewe ni mpumbavu,hakuna kabila lenye upendo kama hao watu,hawana makuu ,hawana ubaguzi na wala si watu wa kujikweza .

Mwanza ni sehemu nzuri kabisa ya kuishi ,bado kuna maeneo mazuri ya kujenga kwa makazi na biashara pia .
Mwanza kuna fursa nyingi za kibiashara ,mambo mengi mazuri utayapata mwanza.

Ni upuuzi kusema mkoa x siwezi ishi mimi,eti una hiki na hiki,si ungezaliwa porini uishi na wanyama kama hutaki watu,sehemu yoyote mtu waweza ishi ila inategemea na vipaumbele vyako,sehemu isiyo salama kuishi ni mikumi tu ndani ya hifadhi mana kuna wanyama wakari.
Uongoo wewe eti wasukuma wanaupendo , mxiuu mikitu mijangili , michefu kama Nini inapenda fujoo kama mikitu
 
Mwanza huwa napaona pa hovyoo sijui kwanini?🤔...halafu mtu hata angefanya nini akiwa mwanza huwa namuona mshamba.....mwaka 2022 nimepata sana pesa lakini sikuwahi kutamani kwenda kufanya starehe yoyote mwanza kwa sababu huwa napadharau saaana tena sana
Sio ajabu,ni mtazamo tu,hata wazungu wanatudharau wanatuona tuna akili za manyani,Richa ya kwamba,wapo Waafrika waliofanya maajabu,Ben Carson dokta bingwa wa upasuaji wa mapacha walioungana,Obama,Bakheresa,Dangote,Michael Jackson,
 
Back
Top Bottom