Mwanza
Bei zako zimekaaje aese? napataje nawasiliano yako aese? Au njoo inbox!
Bei zako zimekaaje aese? napataje nawasiliano yako aese? Au njoo inbox!
Nifungulie PM sasa.Mbona Mi nauza Samaki Sato anaetaka anipm natuma popote
Sasa unataka watu wakauze kachori wamuuzie nani?Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.
Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.
Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.
Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.
Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.
Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.
Ndio wale wale mnawavua Kwa maji ya maiti au ??Bei zako zimekaaje aese? napataje nawasiliano yako aese? Au njoo inbox!
Jibu zuri kabisaWenzako wako bize kuwekeza Mwanza wewe unapaponda kila siku! Jitahidi uende usiangalie watu wa Mwanza saizi Mwanza sio ya Wasukuma tu ambao unawaita washamba!
Ukiwa Mwanza kila kabila liko Pale japo kuwa wasukuma bado ni wengi pia!
Ila ww sidhani kama hua una nanii kwa wakati.Mji unanuka harufu ya uozo wa samaki
Usiwe na dharau kweny biashara ya watu. Jifunze kutafuta pesa kama wenzio uone utamu wake na sio kuongea ongea tu.Ndio wale wale mnawavua Kwa maji ya maiti au ??
Mbona umepata sana pesa khekhekhe khekhekhe aiseh kazi kweli kweli.Mwanza huwa napaona pa hovyoo sijui kwanini?🤔...halafu mtu hata angefanya nini akiwa mwanza huwa namuona mshamba.....mwaka 2022 nimepata sana pesa lakini sikuwahi kutamani kwenda kufanya starehe yoyote mwanza kwa sababu huwa napadharau saaana tena sana
Nakazia kabisa kwa hapa TANZANIA ukishibdwa kuishi na MSUKUMA wewe ni mpumbavu wa kiwango cha mwisho kabisaUkishindwa kuishi na msukuma wewe ni mpumbavu,hakuna kabila lenye upendo kama hao watu,hawana makuu ,hawana ubaguzi na wala si watu wa kujikweza .
Mwanza ni sehemu nzuri kabisa ya kuishi ,bado kuna maeneo mazuri ya kujenga kwa makazi na biashara pia .
Mwanza kuna fursa nyingi za kibiashara ,mambo mengi mazuri utayapata mwanza.
Ni upuuzi kusema mkoa x siwezi ishi mimi,eti una hiki na hiki,si ungezaliwa porini uishi na wanyama kama hutaki watu,sehemu yoyote mtu waweza ishi ila inategemea na vipaumbele vyako,sehemu isiyo salama kuishi ni mikumi tu ndani ya hifadhi mana kuna wanyama wakari.
Unavoenda sehem ndivyo hivyo utakavyopokelewa.Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.
Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.
Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.
Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.
Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.
Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.
Unataka nikuowe mke wa pili!Mbona umepata sana pesa khekhekhe khekhekhe aiseh kazi kweli kweli.
Kwamba nmekosa kitanda au nmekosa kula.Unataka nikuowe mke wa pili!
Ni balaa hao watoto, muda wote mnara unasoma ni 4G tu huku unatembea🤣😅Kumbe vp wana chura lkn
Sa je kama hauna mvuto unataka akupeleke wapi.Mademu wa mwanza ovyo sana anakupa namba ya simu vizuri ila ukimpigia hapokei
Dawa yao huwa ni moja tu mkitongozana mbebe hapohapo ukimpa dakika chache tu humpati tena.ni kama dishi limeyumba,hawana msimamo kabisa na ushamba mwingi
Sasa jeMji umejazwa mawe, watu wanishi miliman had kero ikiotkea dharura utajut