Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

Mimi nimefika huko sio Mwanza tu, hadi Simiyu vijijini Wigelekelo hadi Bushashi ukoo! And believe me wasukuma ni kati ya watu ninaowakubali kwa sababu nimeishi nao sana. Nimewasikiliza sana kina Bhudagala Mwanamalonja, Bhulemela Thomas, Juma Kairo, Kado Chiza, Nyakabaya, Nyanda Lunduma, n.k kwaio ni watu ambao ninawaheshimu siwaoni kama washamba au inferior!

Lakini lazima nikiri kwamba linapokuja suala la utafutaji wageni tuna struggle sana kuaminiwa na wenyeji yaani wasukuma. Wasukuma ni ngumu sana kumuamini mgeni na kumpa kazi (tender), hivyo hivyo kwenye biashara sijui wanaona kama unataka uwaibie hivi sijawai kuwaelewa hapo.

Makazini nako hivo hivo mfano hospitali unakuta nurse ambae ni msukuma anaaminika zaidi kwenye issue za magonjwa na matibabu kuliko daktari ambae si msukuma. Au unakuta tabibu ngazi ya chini mfano CA, C O au AMO ambae ni msukuma anaaminika kuliko superiors wake kama MD, Specialist, na Super specialist.
Labda sababu wanaweza kuongea kilugha
Huko Usukumani ukiongea Kiswahili ni kama mtu aongee Kiingereza miji mingine
 
Anayo Ile hateful trauma nzito mno. Yaani Kama imejengewa zege la mjerumani so kulivunja utasumbuka. Cha ajabu ukimuulza why hazitakuwa na mashiko mazito ya Mana. Yaani Kuna emotional za chuki ziko ingrained ndani yake kabisa. Halafu Sasa muulize Ni Nini ambacho hakipo mza anakipata kwao. Kwanza mwanza pekee Kuna Sato wanauzwa nje na mji uliozungukwa na migodi,wakulima wa kutosha chakula mpaka tunalishia ng'ombe,mifugo ya kutosha ,maji sio shida ya kutosha ziwa tunalo tuna Mito mikubwa mno ambayo inaleta maji. Mza Ni mji ambao kijana anakuja Hana kitu yaani zero smt hata minus Ila anakuwa bilionaire kabisa. Mwanza Ni majiji miongoni mwa majiji ambao mteja anakuja dukani kwako kuhitaji bidhaa na sio lazima ajue kuwa wewe Ni mwenyeji wa wapi. Kuna majiji mengine sijui Sasa niite vijiji yaani utajulikana kabila lako Kama unayo biashara mpaka hiace zako watu wanaweza wasipande Mana wanapeleka hela kwa watu wa kwao tu. Yaani akiwa ama mkiwa mnaongea Kama hajakujua kabila gani lazima akuulize kuwa wewe Ni mtu wa wapi utadhani iyo itamsaidia Nini.

Mwanza iacheni tu iitwe mwanza
Miji gani hiyo ambayo wanagoma kupanda hiace kama sio mzawa?

Mi najua Magufuli ndio alikuwa Rais Msukuma na ndio Rais pekee aliyekuwa akiuliza watu makabila yao Ikulu
Kikwete, Mkapa, .Mwinyi, Samia, Nyerere ndio alikataa kabisa
 
Naona unawasema ma_billionaire wa Arusha kimya kimya.
Why your is easily gravitated that way. It seem the least resistance line of your mind is easily gravitated that way. Your mind connected patterns wrongly my friend. Hizi mambo I thought like in Lagos ,Biafra ama abuja pia hata Nairobi Kuna msala mno. Ujue mjaluo hapeleki hela kwa mkikuyu ,ama mhausa ,my Igbo na Yoruba the same to Ethiopians Kuna wa Tigray na wamhara na wa omoro pia. Rwanda between Tutsi and hutu. So from those examples Nika conclude kuwa mwanza ukifungua duka wateja wanakuja bila ya kujua kuwa wewe Ni kabila gani ama Ni dini gani ama Ni rangi gani napenda kuishi sehemu ambayo watu hawabaguani.

Kuna baadhi ya mikoa ama majiji mpaka wale jamiii moja ya mkoa wanabaguana hata Ajira hawapeani kisa sio Koo moja. Mana ukianza ubaguzi Ni continues chain reaction non stop mpaka kwa family level mtabaguana kuwa huyu kasoma huyu hajasoma.

Yaani ukianza ubaguzi Ni non stop mkuu. Mana Kama myoruba anambagua mhausa bado huko huko kwa wayoruba watabaguana mpaka kwenye family level.

Mana the neurologists say that "NEURONS THAT FIRE TOGETHER WIRE TOGETHER" Sasa wewe ngoja zi wire unadhani Ni kazi rahisi ku rewire ama kuondoa beliefs or the way of thinking unadhani Ni kazi ndogo. Mpaka mwisho wa dunia huwezi rewire neurons Ni kazi ngumu mno yaani mno Ni sawa umchukue papa wa Roma asilimu awe mpaka kiongozi wa juu wa Islam unadhani kwanza utaanzaje kumbadilisha mind yake. Na ndio Mana wanaojua hizi wire huwa wanazi mould wakiwa vijana wadogo bado wachanga so wanakomaa nazo zimo ndani humo humo so kuziondoa inabidi uondoe mtu uhai asiwepo Mana inakuwa his second nature yaani anafanya Ile subconsciously bila ya kuwaza Kama jicho linavyojifunga ghafula hatari ikikaribia
 
Miji gani hiyo ambayo wanagoma kupanda hiace kama sio mzawa?

Mi najua Magufuli ndio alikuwa Rais Msukuma na ndio Rais pekee aliyekuwa akiuliza watu makabila yao Ikulu
Kikwete, Mkapa, .Mwinyi, Samia, Nyerere ndio alikataa kabisa
You perceive me ndivyo sivyo
 
Why your is easily gravitated that way. It seem the least resistance line of your mind is easily gravitated that way. Your mind connected patterns wrongly my friend. Hizi mambo I thought like in Lagos ,Biafra ama abuja pia hata Nairobi Kuna msala mno. Ujue mjaluo hapeleki hela kwa mkikuyu ,ama mhausa ,my Igbo na Yoruba the same to Ethiopians Kuna wa Tigray na wamhara na wa omoro pia. Rwanda between Tutsi and hutu. So from those examples Nika conclude kuwa mwanza ukifungua duka wateja wanakuja bila ya kujua kuwa wewe Ni kabila gani ama Ni dini gani ama Ni rangi gani napenda kuishi sehemu ambayo watu hawabaguani.

Kuna baadhi ya mikoa ama majiji mpaka wale jamiii moja ya mkoa wanabaguana hata Ajira hawapeani kisa sio Koo moja. Mana ukianza ubaguzi Ni continues chain reaction non stop mpaka kwa family level mtabaguana kuwa huyu kasoma huyu hajasoma.

Yaani ukianza ubaguzi Ni non stop mkuu. Mana Kama myoruba anambagua mhausa bado huko huko kwa wayoruba watabaguana mpaka kwenye family level.

Mana the neurologists say that "NEURONS THAT FIRE TOGETHER WIRE TOGETHER" Sasa wewe ngoja zi wire unadhani Ni kazi rahisi ku rewire ama kuondoa beliefs or the way of thinking unadhani Ni kazi ndogo. Mpaka mwisho wa dunia huwezi rewire neurons Ni kazi ngumu mno yaani mno Ni sawa umchukue papa wa Roma asilimu awe mpaka kiongozi wa juu wa Islam unadhani kwanza utaanzaje kumbadilisha mind yake. Na ndio Mana wanaojua hizi wire huwa wanazi mould wakiwa vijana wadogo bado wachanga so wanakomaa nazo zimo ndani humo humo so kuziondoa inabidi uondoe mtu uhai asiwepo Mana inakuwa his second nature yaani anafanya Ile subconsciously bila ya kuwaza Kama jicho linavyojifunga ghafula hatari ikikaribia
Unajua Mwanza kinachosaidia makabila yote yanamaduka kuna wasukuma,wakurya ,wachaga ,waha hapo mfano Rwagasore, Liberty street! Kwa hiyo hata kuweza kubagua sio rahisi! Miaka ya nyumba kidogo kipinfi maduka mengi ni ya wachaga walikuwa na mtindo huo ukiuliza tu nataka kununua bati anakuoeleka kwa mchaga mwenzie!
Kila baada ya wenyeji kuwa na maduka mengi na watu wengine wa kuja hali imenadilika sana!
 
Mimi nimefika huko sio Mwanza tu, hadi Simiyu vijijini Wigelekelo hadi Bushashi ukoo! And believe me wasukuma ni kati ya watu ninaowakubali kwa sababu nimeishi nao sana. Nimewasikiliza sana kina Bhudagala Mwanamalonja, Bhulemela Thomas, Juma Kairo, Kado Chiza, Nyakabaya, Nyanda Lunduma, n.k kwaio ni watu ambao ninawaheshimu siwaoni kama washamba au inferior!

Lakini lazima nikiri kwamba linapokuja suala la utafutaji wageni tuna struggle sana kuaminiwa na wenyeji yaani wasukuma. Wasukuma ni ngumu sana kumuamini mgeni na kumpa kazi (tender), hivyo hivyo kwenye biashara sijui wanaona kama unataka uwaibie hivi sijawai kuwaelewa hapo.

Makazini nako hivo hivo mfano hospitali unakuta nurse ambae ni msukuma anaaminika zaidi kwenye issue za magonjwa na matibabu kuliko daktari ambae si msukuma. Au unakuta tabibu ngazi ya chini mfano CA, C O au AMO ambae ni msukuma anaaminika kuliko superiors wake kama MD, Specialist, na Super specialist.
Umeshawahi kufika KCMC mkuu?? Katika upande wa matibabu
 
Umeshawahi kufika KCMC mkuu?? Katika upande wa matibabu
Msukuma Ni mtu mwaminifu Tanzania. Mwenyewe nikifika kwao ama walipo nakuwa na amani mno Mana nawajua pia nawapenda. Sema nilikokosa kumuoa msukuma. Nina mpango wa kuongeza mke wa Pili ndio lazima niongeze msukuma
 
Mji unanuka harufu ya uozo wa samaki
Jiji halina magorofa!
Jiji Lina BarAbara nyingi za vumbi!
Jiji ni chafu sehemu kubwa!
Zero brain wamejaa kibao!
Washamba kibao!!
Watu maskini ni wengi mno !

Ukiwekeza Mwanza mradi wowote hata kiwe kiwanda kikubwa wafanyakazi wako watashindana kuiba mapato hadi mradi utakufa na badala ya kulia watashangilia tajiri kuanguka!

Watu wengi Mwanza ni wajinga kweli kweli!
 
Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.

Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.

Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.

Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.

Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.

Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.
Apo Kwenye Duka La Nguo na Vipodozi NAKAZIA
 
Apo Kwenye Duka La Nguo na Vipodozi NAKAZIA
Km ilivyo kwa Wairak (kila Malaya)anaetoboa kidogo anawaza kufungua grocery, ukienda Karatu kila grocery zinamilikiwa na wadada tu,ukiuliza alikotoka ni huko biasharani,hawawezi business nyingine tofauti na ya pombe au saloon
 
Bado tunakumbuka aibu walitutia nchi nzima na hii filamu....

MV5BMTI0MDEyNzE4N15BMl5BanBnXkFtZTcwNzgzNjA0MQ@@._V1_.jpg
10.jpg

Darwin_s_Nightmare-476397682-large.jpg

58cfbee30707f618627076-762x539.jpg

maxresdefault.jpg

to-download-darwins-nightmare-study-guide-ronin-films.jpg

1673397678004.jpeg
 
Nimeishi Usukumani sana na ndio nilipo hadi sahv ninakofanyia kazi Nakiri kabisa WASUKUMA hawana ukabila shida usipowaelewa ile tabia yao ya kupenda kuzungumza sana kilugha unaweza jua ndio ukabila wenyewe ila hawana ukabila kabisa!!!

Jamaa ukiishi nao vizuri utaenjoy tu pamoja na wenzao wakurya maana ndio nimesoma huko Advance hawa jamaa hawana shida kabisa
Nami nimeishi nao naweza kusema ndio kabila Bora kabisa kuwahi kuishi nalo narudia kabila Bora kabisa hii naisema kutoka moyoni sana nawapenda wasukuma
 
Unaona sasa point huna ila unachuki na wenyeji wa mwanza! Basi waue wasukuma wote maana hata hapo Dar wapo wengi tu huko kigamboni na maeneo mengine!
Inabidi uwe mpole tu maana maji yako shingoni wasukuma sio wakufukuza kama wazaramo watani zetu!
Wasukuma wana ushamba ambao hauwezi kwisha, wachawi kila Msukuma hakosi hirizi 2-3,nadhami mila zao zinaendana na ushirikina,ukitaka kuamini fanya biashara ya mifugo wakungamue uone kimbembe chake wivu umewajaa na ubinafsi.
 
Haya tuambieni jiji bora na kabila bora Tanzania mana Mwanza ni pachafu pananuka na wasukuma ni washamba na hapafai binadamu mwenye akiri kuishi Mwanza

Tuambieni nyie mlio sitaraabika mna toka mikoa/majiji yapi na makabila yenu ni yapi,nyie wenye akiri mlio jaaliwa welevu msio na uchawi wala ushamba kama hao wenye jiji linalo nuka
 
Back
Top Bottom