Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,361
Ndio ni msukumaHata huyu ni msukuma?; Mwanz ya sasa si ya wasukuma-warundi, wanyarwanda na wakongo wanaipaisha sana
Ndio ni msukumaHata huyu ni msukuma?; Mwanz ya sasa si ya wasukuma-warundi, wanyarwanda na wakongo wanaipaisha sana
Kamwe hakuna mwanamke anayekaa mbali na simu yake.Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.
Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.
Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.
Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.
Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.
Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.
Wewe unataka offer so offer Kwa hali ya January hakuna ila kuanzia march itakuwepo offer Kwa watejaWhy machi?
Me nataka wa kula January
Wasukuma hawana ukabila Ila wanaenda kuongea kisukumaShida ya wasukuma ukabila
Kumbe unaweza kujiona mjanja kumbe wewe ndo mshamba haswa, Mwizukulu mgikuru nimeishi dar lakini hakuna mji siupendi kama dar kwa sababu ya hali ya hewa yake ya joto, uchafu ulio kithili kila Kona.Mji unanuka harufu ya uozo wa samaki
Ila, majina ya namna hiyo yanapatikana zaidi ng'ambo ya mipaka ya mkoloniNdio ni msukuma
Kha !😆😀Usimsemee Dina Dejane
Mbona tumeshawasiliana nae mkuu.Hakuna mfanyabiashara hapo.
Kama nchi iko hivi basi hizi mada za Wasukuma zife!! Kila mkoa au kila kabila zina pande zote mbili mbaya na nzuri inategemea na nature tu ya mtu!!Wabaya hawataki wenyeji wapo Kama watu wafuatao .
Wanzanzibar hawataki watu wabara , na waajiriwe au waaishi huko .
Wanachuki na wakristo ila sisi hhatun chuki nao .
Wakurya na wamusoma haswa hata sumu watakuwekea ,vitimbi watakufanyia vioja vingi vingi tu ili ondoke wabaya sana .
Watu watanga hawapendi uajiriwe makwao naushaidi kabisa watu Hawa ni wabaya sana
Unakuta mtu ni wa BAHI huko au Ileje na MAKAMBAKO afu anaponda Mwanza unabaki unamuonea tu huruma maskiniUnakuta mtu anaponda mkoa x mfano mwanza kumbe anaishi kijijini ambapo pana mtandao wa 3G
kamji kamejaa vumbi tu, kametawanyika tawanyikaMwanza tupa kule,karibuni Singida a.k.a Singapore
Huyo chukua sasa mtoto wa kisukumaNipe demu wako wa mwanza